Starehe Boys' Centre and School (popularly known as "Starehe") is a partial-board,
boys-only school in Nairobi, Kenya. The school was founded in 1959 by Dr. Geoffrey William Griffin, MBS, OBE, Geoffrey Gatama Geturo and Joseph Kamiru Gikubu. It started as a rescue centre in Nairobi. Starehe and Brookhouse School are the only African schools south of the Sahara and north of the Limpopo distinguished as Round Square members.
Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia.
Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana.
Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya
Sasa jana nikasema...
Ndugu salaam
Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake.
Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya...
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona na tunakushauri wewe kijana lakini umekomaa tu hutaki kusikia,. sikiliza .usioe wanyesifa...
RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Ajali...
Habari wakuu,
Ngoja nianze kwa kusema tuwe sana makini kwenye starehe au furaha za muda mfupi.
Okay Dj piga biti ni tembee na bit, Juzi kati nimetika Town (k.koo) kwenye mishe zangu za hapa na pale nataka niingie magetoni mida ya jioni kama 12 hivi, nipo zangu kituoni nasubiri gari za gongo la...
Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni?
Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale...
Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
Kushikwa shikwa mgongoni, hata kama bila mafuta, yani mikono mikavu tu, kuna relaxation unaipata.
Yani kama ni usingizi unakuja bila ya wewe kujua, kwa maoni yangu hii ndio starehe kubwa, na pia inafaida nyingi sana kiafya.
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
Wanasema tembea uone
Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia
Ukerewe ni Moja ya wilaya za
mkoa wa Mwanza
Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20
Nilitembelea baadhi ya visiwa...
Hello
Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha.
Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
Hii kitu inanishangaza sana.
Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.
Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.