Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi
Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho
1. Spika wa bunge huoni ni hatari taasisi kubwa za kimataifa kuifungia nchi misaada na mikopo.
Kwanini...
Genz hawapoi.
Wamekuja na madai mengine mapya kuwa watoto wa spika wa bunge, Zungu waliomba uraia wa Belgium kama wakimbizi kutoka Somalia. Cha kushangaza zaidi wamepewa NİDA hapa nchini. Wamempa wiki moja ajiuzulu la sivyo
wataweka passport zao adharani
watasasiliana na mamlaka za uhamiaji...
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge.
Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za ndio (371) zilizopigwa na wabunge huku akiwa mgombea pekee aliyegombea nafasi hiyo. Tayari Sillo...
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzan zungu
baada
bungebunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussa azzan zungu
muungano
novemba
spikaspikawabunge
tanzania
uchaguzi waspika
ukumbini
zungu
Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda.
Upande wa mashtaka...
Spika wa bunge anamuhakikishia mtu ubunge kama nani kwani ubunge unatolewa na spika au wananchi.
Nimesikia spika anamuhakikishia mtu ubunge huko, sasa kwani ubunge unatolewa na wananchi au spika wa bunge tuache kuharibu taswira ya uchaguzi ndio maana tunaka mabadiliko ya kiuchaguzi.
Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji.
Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha...
Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara.
Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili...
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
Ni jambo la Aibu Kwa Kiongozi Mkubwa wa namna hii hapa Nchini na Duniani.
Nashangaa likawa ni suala lilowachekesha makutano walocheka na kupiga makofi wengine kutaka kuangukia chini Kwa kucheka tu.
Hii inaonyesha namna gan hapa nchini Kila kitu kinachukuliwa poaaa poaa tu Kwa Viongozi ma Jamii.
Wakuu,
Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.
Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa yakilalamikiwa yamefanyiwa maboresho ikiwemo ubadilishaji wa baadhi ya sheria.
Anaandika Godbless Lemma
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.
"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."
Soma Pia:
Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.