songea

Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.

area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.

Songea became a municipality in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kero ya barabara ya mtaa wa Songea

    Serikali imejenga barabara ya mtaa wa Songea kwa kiwango cha lami ila serikali hiyo hiyo imeruhusu watu wapaki pembeni ya hizo barabara na zitumike kama garage hii hufanya barabara ya kuharibika na pia imekuwa kero wananchi kufika kwenye majumba yao na kupishana ni tabu vile magari yamepaki pembeni
  2. A

    KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

    Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING. Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000). Tumeenda...
  3. A

    KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa. Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi yanaharibika shambani kwa kukosa pembejeo hasa mbolea. Tunaomba Waziri wa kilimo aingilie kati, hasa sisi...
  4. aBuwash

    Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  5. A

    KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  6. A

    DOKEZO DC wa Songea tatua mgogoro wa mpaka Kijiji cha Lugagala na Muungano Zomba, Watendaji wako wa ardhi inadaiwa wamewekwa mfukoni

    Sisi Wakazi wa Lugagala tunanyanyasika sana ikiwemo kufanyiwa fujo katika mashamba na makazi yetu ya asili. Mpaka wa Vijiji hivii umekuwa kero kwa Watendaji wa Halmashauri Wilaya ya Songea. Licha ya kukumbushia mgogoro huu wa barua mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri kwa Mkurugenzi wa...
  7. Roving Journalist

    Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea. Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
  8. M

    Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  9. R

    Mwili wa aliyeimba 'no reforms no election' George Mwingira waagwa, Songea

    Baadhi ya waombelezaji wakiaga mwili wa mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa 'No reforms no election.' Waombolezaji hao wameaga mwili wa Mwingira leo Jumamosi, Agosti 16, 2025 nyumbani kwao Matarawe...
  10. U

    Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  11. Manyanza

    Asili ya jina la mji wa Songea inatokana na jina la msaidizi wa chifu mkuu

    Kutoka Makumbusho ya Taifa Kabla ya vita vya Majimaji na kufahamika kwa mashujaa mbalimbali katika mji huu wa Songea eneo hili lilikuwa linafahamika kama mji wa Ndonde, jina hili la ndonde limetokana na kabila la watu walioishi mwanzoni kabla ya ujio wa wangoni katika eneo hili waliofahamika...
  12. 1Africa54

    Kati ya Tanga,kibaha, mbeya, morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha?

    Kati ya Tanga, mbeya,kibaha , morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha? Haswa mzunguko wa Hela Upatikanaji wa misosi Utulivu Huduma za jamii Kwa anae jitafuta
  13. Chicho_

    KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  14. Dennis Robert Shughuru

    Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo Uwezo wa kuijenga tunao kama nchi kama tukiamua Mfano awamu ya kwanza ni kuanza na madaraja, baada ya...
  15. D2050

    CHAUMMA wakosa watu kwenye mkutano wao Songea

    Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea. Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima. Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote...
  16. Roving Journalist

    Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  17. N

    Bei ya mahindi Songea

    Naomba kujuwa bei ya mahindi songea.
  18. Nipe Maji

    PreGE2025 Songea: Serikali yazindua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza...
  19. The Father of All

    Hivi baada ya kuibuka Kizinkazi Chatolite ya Jiwe inaendeleaje na baada ya Kizi tungojee Songea?

    Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro...
  20. Roving Journalist

    DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
Back
Top Bottom