Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa ubora unaohitajika sokoni na kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali...
Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri.
Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku.
Akizungumza...
Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake.
Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
Habari za jumapili wadau!
Binafsi nimekuwa mpenzi sana wa mtindi wa kampuni ya asas! Siku kadhaa hapa nyuma nilikutana mtindi ambao ulikuwa na harufu mbaya sana, binafs nikawa nahisi uenda humu kwenye maduka friji huwa wanazima labda ndiyo maana inaharibika.
Niliwaambia wauzaji kuwa mtindi...
Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara.
Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi.
Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.
First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.
UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA?
Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji. Hakika hii si njia sahihi ya kujihakikishia ubora na usalama wa bidhaa muhimu ya chakula.
Wamasai...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa.
Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.
Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG.
BEI KITONGA CHA 30,000/- Nipo Tegeta Wazo Hill...mawasiliano njoo PM nikuletee.
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni...
Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la POP 7 yamekuwa ya kishindo kikubwa. Toleo la POP 7 limeundwa kwa ajili ya wapambanaji wote wanao amini...
Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara.
Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa.
Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
Niende moja kwa moja.
Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee!
Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.