soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Soko jipya la Mbeya ni bora ujisaidie nje, ni vichafu

    Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya. Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu. Wahusika wanaangalia tu hela wanazowatoza watu kutumia lakini katika sula la usafi ni 0%.
  2. JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  3. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  4. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 2

    https://youtu.be/JW8ruo8JwLo
  5. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

    Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana. Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo. Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  7. JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Wasimamizi wa soko la Karikoo zingatieni miundombinu ya majitaka na usafi

    Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka. Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira...
  8. JamiiForums Tanzania Kuelekea uzinduzi wa Soko la Kariakoo, Prof Shemdoe asema ameridhishwa na maandalizi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam. Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

    Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini. == Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo, Dar es Salaam Februari 08, 2026 baada ya soko hilo kufanyiwa ukarabati. Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho kwa Samia kwenda kwenye soko la Kariakoo mara ya mwisho tarehe 1 Juni 2021. alipofanya ziara ya ghafla, na kisha kuzungumza na...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi Mwamweta na Anthony Mtaka wasaka soko la parachichi nchini Ujerumani

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026. Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Samia anaenda kuzindua soko la kkoo baada ya ukarabati huku mtandao wa simu Karikoo ikiwa changamoto

    Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu. Mabali ambapo pana mzunguko mkubwa kipesa na tegemeo la biashara Ukanda huu
  13. JamiiForums Tanzania Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari ya China yazidi kupata soko la Afrika, sasa yamefika soko la Tanzania

    Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia imegubikwa na siasa za kijiografia na kuongezeana ushuru bila sababu, na kuzuia ufikiaji wa masoko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

    Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke. Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada” Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chao
  17. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  19. JamiiForums Tanzania Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  20. JamiiForums Tanzania Songea: Baada ya malalamiko ya Wananchi, RC wa Ruvuma afanya ziara kukagua Soko la Bombambili na masoko ya Manzese A

    Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea. Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…