soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

    Hey wana jf Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa Kama unajua sehem yeyote Noamba ushare hapo chini ili tuwez kusaidiana
  5. JamiiForums Tanzania Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua soko la simu used bei kitonga

    Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
  7. E

    JamiiForums Tanzania Soko lipi naweza kupata mazao aina ya mizizi.

    Salaam, Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu. Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc. Vipimo vikoje kwa kila zao. NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni. Nawasilisha.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yasema baada ya miezi miwili itatangaza fursa ya uwekezaji Soko la Kijichi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Soko la Kiusa, Mkoani Kilimanjaro ni chafu sana

    Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa. Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  12. K

    JamiiForums Tanzania Soko la faida kwa mazao ya chakula

    Binafsi mapenda kufanya kilimo cha biashara japoo sio kwa ukubwa huo ila hofu yangu soko lenye faida kwa mkulima lipo?!
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  14. JamiiForums Tanzania Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa, faida yake na mtu unawezaje kushiriki

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni. 1. KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri aagiza ujenzi soko la kisasa Muleba kukamilika ndani ya miezi sita

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akamilishe haraka hatua za manunuzi na kupata mkandarasi wa ujenzi wa soko la kisasa la Muleba na kuhakikishe ujenzi unakamilika...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Songwe: Machinga 1,300 wakimbia eneo walilowekwa kwa muda baada ya ujenzi wa Soko kutelekezwa Tunduma

    Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye. Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yafikiria kubadili matumizi ya Miundombinu iliyojengwa kwaajili ya Soko la Kijichi (Temeke)

    Kutokana na Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), kuonekana limetelekezwa, ufafanuzi umetolewa. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai...
  19. JamiiForums Tanzania Kuuzwa soko la Kurasini, viongozi warushiana mpira

    Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umesema hautambui mauzo hayo. Mbali ya halmashauri, uongozi wa mtaa na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la ubuyu

    wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost 38,000,.ubuyu ni ule mweupe raw material kabsa,upo wa kutosha even kwa matumiz ya kiwandani,so kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…