Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka nchi mbalimbali kutokana na aina zake nyingi na za kustaajabisha za maua. Wakati huohuo soko hili...