soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  2. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  3. JamiiForums Tanzania Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  6. JamiiForums Tanzania Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

    Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu Kwenye hali kama hizi wasanii...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa siku TFF itashinda maana ni mamlaka. Hongereni sana Young Africans Sports Club. Hakika nyie ndo wakombozi wa soka hili

    Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!! Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu mzima akitoa mashuzi wakati wa kula basi kibao hulambwa mtoto. Lakini jambo Moja ni uhakika, nalo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Nasoro hamdun..ADHABU za WAAMUZI hatutangaza(wiki iliyopita)..Leo anahojiwa mbona mmemtangaza SASI tumesikia makelele ya wananchi aisee SOKA la Bongoo

    HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI wanawaadhibu kimya kimya Leo kahojiwa huyoohuyoo hahaa anasemaa tumesikia kelele za wananchi zimekuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya soka letu Yanga Msikubali Kucheza

    Hii itasaidia sana kwa viongozi wa Tff na Bodi ya ligi kuzingatia kanunu na haki. Yanga msicheze
  13. JamiiForums Tanzania Kweli Karia minne tena!!yani Leo Tanzania girls ni WA kuwatambia Congo DRC kwenye soka

    Wakuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Karia kaboresha sana mpira wa Tanzania huenda vita anayopigwa ni sababu havai kobaz ila kajitahidi sana imagine AFCON team zote zimeshiriki hadi ule mpira wa watu 5 wasichana tumeshiriki na kufanya vizuri Ligi ya under 20 Jana tumeona soka safi na league...
  14. JamiiForums Tanzania Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Alex Ngereza mchambuzi wa soka asiyekidhi vigezo. Analazimasha

    Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING. Unapopenda fani fulani ni vema kujitathimini kama unaendana na hiyo fani au laa. Ni kama jinsi Harmonize anavyopambana kucheza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  17. JamiiForums Tanzania Morocco ni mwenyeji wa ofisi kubwa za soka ila fainali inafanyika kwao halafu VAR haifanyi kazi

    Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku kwa unyonge wetu na timu zao zinaweza kuja kuwa wahanga na kuwa harakati za Simba zinafungua njia...
  18. JamiiForums Tanzania Abdulrazak Hamza Tapeli wa kisasa katika soka

    Ukimuangalia huyu jamaa kwa jicho la kishabiki , ukiwa shabiki wa Simba sc utasema jamaa ni bonge la beki ila ukiwa shabiki wa Yanga sc utasema jamaa ni mbovu .Lakini ukimuangalia kwa jicho la kiuwanamichizo na kijasusi, utagundua huyu ni tapeli wa soka kama ilivyo wahi kutokea kwa wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  20. JamiiForums Tanzania Kipa wa Barcelona, Wojciech Szczesny asema anasubiri jibu la mkewe kama asaini mkataba mpya au aachane na soka

    Kipa wa FC Barcelona, Wojciech Szczesny, amesema anasubiri mwongozo wa Mkewe na Familia yake kabla ya kusaini Mkataba mpya wa kuendelea kubaki Klabuni hapo au kuondoka. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, alisajiliwa Oktoba 2024 ikiwa ni Mwezi mmoja tangu atangaze kustaafu akitokea Juventus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…