soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé

    Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wachezaji walipwe vizuri sambamba na elimu ya kifedha

    Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TFF uone umuhimu wa kusameheana na Michael Wambura kwa maendeleo ya soka

    Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura. Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika kulifanya soka la nchi hii kupiga hatua mbele akiwa ktk nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu, ngazi...
  4. JamiiForums Tanzania Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

    Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia. Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ronaldo wanaharibu soka

    Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi. Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika inabebwa, mfano ni jana ile penati. Tunajua ndio penalty nyingi kwenye mpira huwa zinaleta debates...
  6. JamiiForums Tanzania Rushwa inadumaza maendeleo ya soka letu

    Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa...
  7. JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  8. JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka na English

    1. Aisee wale ni: Left backs sio back left Right back sio back right. Mbona hamsemi kickfree ama kickgoal? 2. Moja ya vitu sio moja ya kitu. Moja katika ya vingi. Man up
  10. JamiiForums Tanzania Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tuulinde kwa nguvu zote mchezo wa soka ambao umeanza kuvamiwa na wauza madawa ya kulevya

    Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali. Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
  12. JamiiForums Tanzania Ujio wa Masihi katika Soka la Tanzania

    Nimeiangalia Yanga ya msimu jana iliyotolewa na Rivers United, nimeiangalia Yanga ya msimu huu iliyotolewa na Al Hilal, naweza kusema timu haikua mbovu isipokua ilikosa imani. Nilishawahi kusema linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga siyo mbovu, isipokuwa inakosa ile 'breakthrough...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tofauti: uwekezaji wenye tija katika soka la Tanzania

    JOCHO LA TOFAUTI: UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA SOKA LA TANZANIA. Uwekezaji katika Sekta ya michezo ya kubashiri Tanzania (Gaming/Betting Indutry) umekua kwa kasi sana ndani ya miaka 7. Kuna zaidi ya Makampuni 25 ya kubeti Tanzania na yanazidi kuongezeka kwa kasi sana. Lakini, moja ya kilio cha...
  14. JamiiForums Tanzania Beki wa Barcelona: Gerard Pique atangaza kustaafu kucheza soka

    Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa. Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
  16. JamiiForums Tanzania Ronaldo kama ataendelea na tabia zake za ovyo basi atajipotezea heshima yake ndani ya Dunia ya Soka

    Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford. Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
  17. JamiiForums Tanzania Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

    Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji. Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  19. JamiiForums Tanzania MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

    Mshtakiwa katika kesi ya ubakaji namba 45 ya mwaka 2022, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Deonis Aropagita katika Jimbo la Moshi, Sostenes Bahati Soka, amesomewa maelezo ya awali. Padri Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro leo Jumatatu Oktoba...
  20. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola na Mapinduzi ya Soka

    Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s. Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana aliokaa nao na wanaoiga uchezaji wake, kina Xavi Hernandez, Mikel Arteta, Erik Ten hag, n.k Moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…