Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au...
Mfanyabiashara Mohamed Dewji amezungumzia suala la mchango wa shilingi bilioni 30, huku baadhi ya watu wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo. Wakosoaji wamemkosoa kwa kauli kali, wakidai kuwa utajiri wake haupaswi kumfanya awapuuze wananchi.
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi huo ni miongoni mwa maamuzi magumu zaidi maishani mwake, akieleza kuwa soka halikuwa kazi tu bali...
Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu.
Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football)
Rejea:
1.Senegal...
Brazil waliingia mkenge kwa kuachana na staili ya soka lao la samba lenye burudani ya kufa mtu, linalowekeza kwenye vipaji na wakaiga soka la ulaya linalo-base kwenye mpira wa kibiashara zaidi kuliko burudani!!
Tusahau kuibuka na kuendelezwa kwa vipaji kama Pele, Maradona, Ronaldo og...
Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji
Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi.
Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona?
Hii ripoti ni mali ya Rais
Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania.
Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan
Means kuna rushwa inaendelea soka letu
Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi
Hivi vikaoo mnalipwa na nani kila siku mnafungia waamuzi mbaya wameshindwa kutasfiri sheria
Mna shida kubwa sana snaaaa...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC na...
Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
Ikitokea mchezaji wakati wa mchezo kiatu kikamtoka mguuni then akafunga goli. Hilo goli litakubaliwa au litakataliwa?
Msinifokee jamani, kuna kitu najifunza
Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya.
Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
Leo nimewaza tu nakumkumbuka kijana Deusdedith Soka ambaye aliwahi kusema "Unaweza ukamuua Soka Lakini huwezi ukauwa fikra ambazo mimi ninafikiri. Kwa sababu fikra zangu ni kupigania haki. Hata kama nikifa leo, kesho au kesho kutwa, ninaamini Fikra zangu zitaendelea kuishi.
Wako mamilioni ya...
ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi.
Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!.
Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa.
Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan??
Familia ya...
Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili
Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇
Kipindi hiki cha...
Hatimae kiungo bora mkabaji wa muda wote, Segio Busquets ametangaza kustaafu soka kufikia mwisho wa msimu.
Busquets ambaye huwa anacheza kiungo mkabaji, amefikia uamuzi huo katika umri wa miaka 37.
Ni mshindi wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 akiwa na Timu ya Taifa ya Spain katika fainali...