I salute you kinsmen.
TFF wamekuwa wakituvunja moyo kila siku linapokuja swala la team yetu ya taifa.
Kwanza wanatuletea makocha wabovu na wa hovyo sana nadhani kuna maswala ya 10% mule ndani .
KAMA NI KIGEZO CHA UWEZO WAKE.
Kumpa team huyu moroco tangu mwanzo watu tulisema huyu ana uwezo...
Hii sio taarifa kuhusu kiwango au performance ya timu. Hii ni taarifa inayoonesha timu ya taifa inaundwa na wachezaji wenye thamani(value) gani. Kwa mujibu wa tovuti ya ya Transfermarket na Score, imetoa tafsiri kwamba thamani ya timu ya taifa ‘ Total Market Value” napatikana kwa kupima mambo...
Mwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo.
Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani B.W.Mkapa stadium? Kweli?
Hivi ni kwasababu watanzania hawapendi timu yao ya Tanzania au wacongo...
Kufungwa kunauma sana.
Ila hawa wasemaji wakamatwe na wafungiwe kwa muda kuzungumzia mpira. Hawa wanamchango mkubwa sana kuharibu national team hasa kwa kupata matokeo mabovu leo.
Mfano katika press yao ya kuhamasisha walianza kuleta taharuki kwa kuhusiha mechi ya trh 19. Hii tayari ilipeleka...
Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi.
Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga...
Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?
* How come mchezaji kama Kibu D...
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni
Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.
Dakika, 2 Stars...
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo
Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa sasa, nimekutana na vitangazo vingi vina sema Rais Samia amelipia ticket elfu 20 kwenda uwanjani...
Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu ni Ile ya Ethiopia ugenini.
Lakini hao wahabeshi walitutoa kamasi hapa nyumbani.
Msimamo ulivo
D.R...
kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo
1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima
2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓
3. MOHAMED HUSEIN -
4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka.
Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta yoyote, hapo rank za FIFA huwa hazina kazi , bampa to bampa, piga nami nikupige, Congo DR mabishoo ...
Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi.
Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya.
Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni
Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )
Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.
Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.
Hayo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.