Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni.
Kocha mkuu wa Yanga Migeul Gamondi amesema wapo tayari kwa mchezo huo na atafanya kila jambo zuri...
Niliongea na tajiri Mo akanisikiliza. Tajiri alikuwa kachafukwa. Aliona dharau zimezidi mtaani. Kaenda Uarabuni kabeba chuma kingine.
Simba misimu hii miwili imechukua wachezaji wawili ACTIVE kutoka timu za Uarabuni, tena timu kubwa. USMA ndiyo wale waliwapiga mabomu vyura usiku na mchana na...
Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada.
Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi.
Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu.
Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua...
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Heri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.
Soma...
Manara hajawahi kuwa na weledi hata siku moja katika kauli zake, hajawahi hata kuonesha ni kama mtu mzima mwenye busara ni kama bado kijana wa under 18 anayejifunza baya kipi na zuri kipi. Kaharibu shughuli yote iliyokuwa imefana kwa uswahili aliuokuwa na hilo mmelifuga wenyewe GSM na Hersi...
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho...
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa...
Timu ya Yanga imefanikiwa kuuza tiketi zote za mzunguko katika kuelekea wiki ya Mwananchi. Wiki ya Mwananchi itafanyika jumapili ya agosti 4,2024 katika uwanja wa Benjamimi Mkapa.
Awali kulikuwa na utani mwingi sana kati ya watani hawa wawili Yanga na Simba juu ya ununuliwaji wa tiketi kuelekea...
Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba...
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.
Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC...
Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au lawama na makelele yanayojitokeza kila msimu unapoisha
Tff na Bodi ya ligi ishughulike na haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.