soka la tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    Timu zingine kuiga 'Supu day' na majina ya wachezaji mechi za kimataifa ni kukosa ubunifu?

    Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu! Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais...
  2. D

    Mfano: Kocha Fadlu asipowapeleka Simba makundi, mtamfukuza?

    Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee. kwa mfano : fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe?? a) Mangungu b) Fadlu c) Timu Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila 😂. Maana mchawi lazima apatikane...
  3. DELETED ACCOUNT

    Unahitaji D mbili kujua kwa nini tunafurahi kucheza ugenini Libya kwenye full house?

    Kucheza ugenini uwanja ukiwa full house kama ilivyokuwa juzi kule Tripoli, Libya, kwanza ni exposure kubwa kwa wachezaji wa Simba ambao hawana experience ya kutosha kwenye mechi za kimataifa, hasa kucheza kwenye mazingira yasiyo rafiki kama yale. Kina Ahoua, Balua, Kagoma na wengine walikuwa...
  4. Dalton elijah

    Ken Gold yaachna na Kocha wake

    🛑Klabu ya KenGold ya Chunya Imeripotiwa kuwa iimeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Fikiri Elias kwa makubaliano ya pande zote mbili.
  5. M

    Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
  6. OMOYOGWANE

    Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

    Teh! Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card. Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu...
  7. Waufukweni

    Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
  8. Labani og

    Yanga ianzishe chuo Cha mpira

    Salaam wakuu Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.(...
  9. Mhafidhina07

    Ubovu wa Taifa stars wakulaumiwa ni TFF

    Nimeona AFRICON iliyopita jamaa AMROACH alitumia approach nzuri ya kukusanya wachezaji kutoka kila kona ya dunia lengo ni kuipa nguvu na heshima bendera ya Tanzania kwenye sekta ya michezo ila naona kuna ujinga/ufinyu wa bajeti ikatufanya tubaki na benchi la ufundi la Simba ikisheheni wachezaji...
  10. Yoda

    Wachambuzi wa mpira bongo, kocha sio mwalimu

    Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
  11. Waufukweni

    RASMI: Kocha wa Azam FC, Youssouph Dabo avunjiwa mkataba

    Azam FC imetangaza leo, Septemba 3, 2024, kwamba imefikia makubaliano ya pande mbili na kocha mkuu Youssouph Dabo ya kusitisha mahusiano yao ya kikazi. Dabo, ambaye amehudumu katika klabu kwa kipindi cha mwaka mmoja, anaondoka pamoja na wasaidizi wake wote wa benchi la ufundi aliokuja nao. Soma...
  12. Waufukweni

    Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
  13. William Mshumbusi

    Kama Azam wakishindwa kumpata kocha Julien Chevalier kutoka Asec basi Wampe timu Ongala na Mgunda ata kwa Muda

    Kwa makocha wa Africa kwa vilabu namkubali sana huyu mfaransa Julien Chevalier. Amekua Asec kwa mafanikio makubwa kwa misimu mitano mfululizo licha ya msimu uliopita kumaliza wa 5. amekuwa bingwa mara 4 mfululizo licha ya kuwa timu yake huuza mastaa wake wote kila mwisho wa msimu. Mbaya na...
  14. R

    Tetesi: Kocha wa Azam keshapewa thank you

    Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha. Jambo Kama hili wengi walilitegemea kutokana na uwekezaji uliofanywa na matokeo wanayopata. Mtazamo wangu binafsi sio kocha peke yake ndio chanzo cha kufanya vibaya lakini uongozi pia ulichangiwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Vipigo viwili mfululizo vyamng'oa CEO Namungo

    Klabu ya Namungo Fc imethibitisha kuridhia ombi la kujiuzulu la aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Omary Kaya kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo iliyopokea vipigo viwili mfululizo kwenye mechi mbili za mwanzo wa msimu huu. Namungo FC imepoteza mechi hizo dhidi ya Tabora United na...
  16. OMOYOGWANE

    Wakati Yanga inakusanya wanachama wapya kwa supu, idara ya uhamasishaji AZAM wao wamelala chamazi

    Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu. Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na kuwashawishi wanunue kadi za uanachama. Azam mgekuwa mnawanywesha na kuwalisha mashabiki zenu hata...
  17. mdukuzi

    Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

    Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour...
  18. Labani og

    Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  19. DELETED ACCOUNT

    Nimeamua rasmi kuwa mwekezaji mkubwa katika soka la Tanzania

    Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti. Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu kuwekeza katika soka. Nimezingatia jinsi ninavyotumia muda mwingi katika mambo haya ya mipira, ni...
  20. comrade_kipepe

    Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

    “Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
Back
Top Bottom