soka la tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  2. zaza1

    Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  3. Tajiri Tanzanite

    Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  4. ELI COHEN

    Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

  5. GENTAMYCINE

    Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  6. ngara23

    Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  7. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  8. Damaso

    Soka la Tanzania ni ngumu ama?

    MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
  9. Titicomb

    Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  10. Bila bila

    Ili kuokoa soka la Tanzania Kasongo na Boimanda mjiuzulu

    Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi? Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya mazoezi. Nyie hao hao kwenye barua hiyo hiyo mnasema Simba walizuiwa na mabaunsa wanajulikana ni wa...
  11. OMOYOGWANE

    Anguko la Yanga limechangiwa na Eng Hersi mwenyewe na GSM kuwa na tamaa ya madaraka ya kisiasa mwaka 2025

    Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu. Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
  12. Waufukweni

    Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  14. B

    Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  15. R

    Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

    Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini. Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana...
  16. GENTAMYCINE

    Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  17. Crocodiletooth

    Upangaji wa mizunguko ya timu kucheza umulikwe na upangwe katika mtindo ambao utapumzisha wachezaji wetu

    "Timu yangu ina uchovu, tumecheza mech sita ndani va Siku ishirini" "Kila kitu leo kilikwenda vibaya, tumepata jeraha dakika ya nane, Musonda amepoteza nafasi ya wazi, tumepoteza penati wao wamefunga, wame shambulia mara mbili wakafunga,sisi tumeshambulia ×20 hatukufunga, siwezi kupeleka lawama...
  18. ndege JOHN

    Hivi kweli serikali inashindwa kutenga billion 20 kuweka carpet viwanja vyote mikoa yote

    Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu. Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
  19. L

    Jemedari Said CEO mbabaishaji mkubwa asiejielewa

    JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika...
  20. B

    Simba na mikakati ya ubingwa

    SIMBA tupambane sana mazoezini. Hii ndio silaha yetu wachezaji wengi wa SIMBA FITNESS ipo chini sana. Pili SIri za TIMU nani anazitoa ndani kwenda nje? Hili ndio tatizo kubwa SIMBA. Mwisho solution ya kuifunga kila TIMU ni kuongeza ufanisi golini timu kwa sasa inacheza vzr. YANGA inatunga...
Back
Top Bottom