software

  1. M

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 as Data analyste kwenye ajira?

    Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics. Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private sectors?
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji program ya biashara. Software

    Habari Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
  3. JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni matizo ya syntax, error, bugs na update security and software brain

    Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani. Wanaokumbuka Y2K basi teknolojia ilikuwa kama CCM mpaka kufanya wajinga wakawa wajinga. Tuje kwenye mada ambazo ni...
  4. A

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Payroll Software

    Habari wana Jf. Ninauza Payroll Software ambayo inaweza ku accommodate mpaka wafanyakazi 500. --It takes care about all earnings and deductions of employees. --It automatically calculates PAYE and Pension --Benefits also can be accommodated and calculates accordingly. --It calculates Net pay...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa Offline Bible Software ya kutumia kwenye pc

    Tafadhali Mwenye Offline Biblia software ninayoweza kutumia kwenye laptop au desktop yangu anitumie ni dowload!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

    Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa. Sio kwa ubaya ningeweza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta intern ya Software Developer

    Habari Jamii! Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu ninafurahia kufanya coding. Skills ambazo nimejifunza na ninazielewa hadi sasa japo bado naendelea...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Marejesho Mimi ni software Developer mwenye idea aje tulifanyie kazi

    Wakuu kwema? kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    Wakuu habari za mida! Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo bafala ya samsung inaonesha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji wa Printer za Epson na Nyingine. Inkpad Reset software Nauza

  11. JamiiForums Tanzania Software Developer Cum Development Operations Engineer at Mwiba Holdings Limited February, 2024

    Position: Software Developer Cum Development Operations Engineer Role Summary: A Software Developer cum Development Operations Engineer is responsible for building and maintaining systems, implementing daily code changes based on emerging insights. This role involves overseeing software...
  12. JamiiForums Tanzania Senior Software Developer at Tabono Consult January, 2024

    Position Title: Senior Software Developer Consultant Work station: Dar-es-salaam, Tanzania Employment type: Contract based Duration: 12 Months Application deadline: 27th January 2024: 1700hrs Job Duties/Responsibilities: Confirms project requirements by reviewing program objective, input...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Desktop recording software

    Wakuu habari, Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya. Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo haina watermark na output yake ikawa ni mp4. Chief-Mkwawa
  14. JamiiForums Tanzania Accounting Software kwa ajili ya shule

    Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema. Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
  15. JamiiForums Tanzania Hamna kazi ngumu upande wa IT kama ku upgrade software

    Skia tu kwa watu Ku-upgrade sytem kutoka version moja kwenda nyingine sio shuhuli nyepesi, ni bora kufanya development upya
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Mafundi simu
  18. JamiiForums Tanzania Je, MacBook m1 air 8/512 ni nzuri kwa software development?

    Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
  19. JamiiForums Tanzania Software Developer (4 Posts) at Jumla Africa September, 2023

    Position: Software Developer (4 Posts) Location: Arusha, Tanzania Duration: Full Time Key Responsibilities – Maintain and develop the existing Management Information System comprising of Apps and Web Applications each sharing data across each other. – Collaborate with sales and marketing...
  20. JamiiForums Tanzania Software developer

    Haya macoder Fursa hiyo changamkieni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…