social media

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye social media kuna mambo huku

    Kwa sisi tunaotumia majina yetu na CV zetu halisi tumeweka wazi, humu ndiyo connections zinapoanzia unakuta linked link, kuna anaekuhitaji akiona CV anakuunganisha mara umepata mchongo. sasa kuna wale anakuona jina lako anakumbuka mlisoma wote Wailes, ana request friendship, unamuona ni Queen...
  2. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums is the best social media in Tanzania

    Wana JF, Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita. Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF. Ni media ambayo hufichua maovu...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

    Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
  4. Hashpower7113

    JamiiForums Tanzania Vifupisho vinavyotumika sana kwenye mitandao ya kijamii

    Ni ukweli usiopingika kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia, yamefanya matumizi ya intaneti kuongezeka sana. Matumizi ya intaneti nayo yamekuja na mambo mapya, katika ulimwengu wa sasa, mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii, kama Facebook, Instagram, Whats App na kwingineko ni kitu cha...
  5. chrismukasa

    JamiiForums Tanzania What does the rise of popular Online Forums across Africa say about the need for Freedom of Expression?

    Rise and Popularity of Online Forums across Africa: The rise and popularity of online forums across Africa speaks volumes on peoples preference of freedom and how main stream social media has failed at this. I have personally learnt so much from these unfiltered sources of information and would...
Back
Top Bottom