smart

SMart is a British CBBC television programme based on the subject of art, which began in 1994 and ended in 2009. The programme was recorded at BBC Television Centre in London, previously it had been recorded in Studio A at BBC Pebble Mill in Birmingham. The format is similar to the Tony Hart programmes Take Hart and Hartbeat. The show was revamped into an hour-long show in 2007; from 1994-2006 it was previously a 25-minute show. From 1994–2005, the show also featured Morph, originally from Take Hart. It has 199 episodes. CBBC last aired SMart on 11 August 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. .. 2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili 3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
  3. JamiiForums Tanzania Hongereni Tanesco kutuletea Smart Meters, lakini mtatuunganishia bure ili kubadili zilizopo au tutalipia?

    Hii habari ni faraja kubwa kwa watumiaji wa umeme maana sasa habari za kulala giza kidogo au kwa sana zitapungua maana hata ukiwa Songea safarini utaweza kununua umeme na kuwasha nyumba iliyopo Mwanza. Maana hakutakuwa na haja za kuingiza tokeni ili kuwasha umeme. Lakini je, hizi mita...
  4. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, You are smart, you are potential, liangalie zao la Cocoa Tanzania

    Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe. Ana vision zisizotofautiana sana na Mama Samia hasa kwenye uwezeshaji, uwekezaji na biashara ivo si...
  5. JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hallow wana JF, weka bei, picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mtangazaji Orest Kawau niliyemjua akiwa Smart alipokuwa Magic FM ndiyo huyu wa ovyo aliyeko Wasafi FM sasa?

    Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo? Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua...
  7. JamiiForums Tanzania infinix smart 5 (x697)

    habari wanajukwaa naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
  8. JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Tv smart na Azam dish Mwanza

    Nauza
  9. JamiiForums Tanzania Cyril Ramaphosa on Smart Partnership

    Huu ni ukweli mchungu kwa Mabeberu .
  10. M

    JamiiForums Tanzania 7 Important reasons why Smart and intelligent people talk less

    Most smart people prefer to be quiet for the following reasons: 1. Most of them are generally introverted. The brightest people are generally introverted. a strong correlation between intelligence and introversion. This is not to say that the brightest people are always introverts or that...
  11. JamiiForums Tanzania Make children realize how beautiful and smart, they are!

    Being a parent is one of the greatest reward, that the Most High Creator presented freely, in this world. Since it is a gift then we should do our level best, to inspire and uplift our children, to make them laugh and be happy after realizing how beautiful and smart, they are. But, we may ask...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

    Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi...
  13. JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Smart TV inch 43 na Dish la Azam

    used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
  14. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix smart 5 for sale, 165,000 at kimara kona Dsm

    Phone Details: Ram 2gb Rom 32gb colour: Dark blue ^haina mchubuko^ bei: 165,000 Piga simu 0713096076 Dar kimara corner
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  17. JamiiForums Tanzania Smart speakers, smartwatch na miswaki ya umeme

    Nauza: Smart Speakers (Amazon Echo na Google Home Mini) mpya sealed each Tsh 150,000/= Electric Toothbrush Xiaomi Tsh 50,000/= Smartwatch za kuanzia Elfu 40 hadi Laki 2. Ubungo Mawasiliano. Nicheki WhatsApp: 0758095750
  18. JamiiForums Tanzania Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  19. JamiiForums Tanzania FILE LA TIGO SMART KITOCHI

    FILE LA SMART KITOCHI FP 789L-T V02., FILE LINA GB 2 NJOO UCHANGIE BANDO TU NIKUTUMIE #0625796805
  20. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…