siwezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  2. JimCarrey

    Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  3. Imani rubaba

    Mimi ni askari lakini siwezi kuacha

    📌 KUMBUKIZI Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Kwa kupitia ufugaji huu, ameweza kujenga chanzo imara cha kipato cha ziada, bila kutegemea mshahara pekee. 👉...
  4. The Magnifico

    Dudubaya: Hata nisikie Mkubwa Fella amefariki, siwezi kwenda kumzika

    Jamaa anakuambia "You love I love You, You dont love Me I dont love You".
  5. Fbn

    Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  6. Genius Man

    Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza Samia na Serikali yake yote au tupo wengi?

    Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza samia na serikali yake yote au tupo wengi ? Karibuni wadau kwa maoni
  7. Scared

    Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

    Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
  8. M

    Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  9. Chachu Ombara

    GE2025 Mpina: Wanazungumza rudi nyumbani, nyumba ipi? Sitarudi CCM, inaumwa ugonjwa ambao hauponi kwa tiba

    Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
  10. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako. MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote. Inasikitisha sana .
  11. Saad30

    Siwezi nikaisaliti CCM

    Habari wakuu Mimi bado ni mgeni katika Chama cha mapinduzi. Nilianza kuwa mwanachama rasmi mwaka 2010 kwahiyo Nina miaka 15 Hadi Sasa. Kwa Hali ilivyo Sasa haitakiwi akili ya mhemko hata kidogo maana komredi katupa jiwe na limetupata lakini haya maumivu hayawezi kutufanya tusiendelee na safari...
  12. Marry Diana

    Siwezi kulazimisha furaha ambayo sina,nahitaji faraja zenu Kaka na dada zangu

    Sina uhakika kama Mimi ni mdogo zaidi humu ndani ila nawaamkieni. Shikamooni. Jamani ndugu zangu maisha kwangu si mazuri upweke unanisumbua,nahitaji marafiki wa kubadilishana Mawazo.sihitaji mahusiano ya kimapenzi huko nimetoka,nahitaji ushauri, kubadilisha Mawazo kibiashara,na vingine vingi...
  13. ELI COHEN

    Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
  14. U

    Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  15. DuaZaMama

    Steven Wasira: Siwezi kujibu hisia za watu

    "Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  16. R

    Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  17. Komeo Lachuma

    Tukio hili siwezi msahau mchumba wangu Aisha. Aliyemwoa atalaaniwa kabisa

    MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI. Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa wacha. Wakati huo kanikalia..... Alikuwa kachuchumaa akasugua akasugua akasugua... Nlipoanza...
  18. Rorscharch

    Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  19. M

    Nimejiridhisha rasmi siwezi pambana na changamoto za mwanamke

    nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
  20. Mr Beach Boy

    Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
Back
Top Bottom