siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sio siri wanawake wanaongea sana

    Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
  2. JamiiForums Tanzania Wewe ni siri

    Tunza siri zako mwamba! ___________________ 1. Siri ni maisha wewe! Huna siri, huna maisha! 2. Ukiweza kujificha adui asikuone lakini wewe ukawa unamuona jua ushindi ni wako hata kama unasilaha dhaifu. 3. Kujificha ni moja ya kanuni za ushindi! Kitu kinachofichwa huitwa siri. Wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Siri ya Kuwa na Amani na Furaha ni Kujifunza Kutojali Baadhi ya Mambo

    Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji kutopenda kufanya nae kazi Alikataliwa kwenye vitabu,majarida,machapisho na hata kwa washairi,matokeo...
  5. JamiiForums Tanzania Alejandro Garnacho aiweka nyumba yake ya Manchester sokoni kwa siri

    Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni sehemu ya mpango wa kujiandaa kuondoka. Raia huyo wa Argentina aliinunua nyumba hiyo kwa Pauni Milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  7. JamiiForums Tanzania Secret of money.( Siri ya pesa)

    Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini. 1- Saving (Kuhifadhi) Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena. 2-Fear of being...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

    Niongee machache kuhusu vitabu vya dini. Tuna dini kubwa tatu maarufu duniani ambazo ni Ukristo (Christianity), Uislamu (Islamic) na Uyahudi (Judaism) Dini hizo zote zina vitabu vyake vitakatifu. Biblia Takatifu kwa Wakristo, Quran Tukufu kwa Waislamu na Tanakh kwa Wayahudi. Tanakh ni Biblia...
  9. JamiiForums Tanzania Kashfa ya signalgate: Siri za kijeshi na athari kwa siasa za kimataifa

    Washington DC Katika tukio linalotikisa anga za kisiasa na kijeshi za Marekani, uvujaji wa mazungumzo ya siri ya maafisa waandamizi umefichua mjadala wa kina kuhusu mipango ya mashambulizi dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen. Kisa hiki, kilichobatizwa jina la SignalGate, kimeibua maswali...
  10. JamiiForums Tanzania Unavyoweza kuuza siri zako/za taasisi yako kwa mifumo iliyomo kwenye simu yako.

    Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa; Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi. Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hili neno freemanbase lina siri gani ndani yake

    Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube 👈Kijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa...
  12. JamiiForums Tanzania Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi The Bold na wasimuliaji wengine bingwa? Makabrasha ya siri (classified files) ya uchunguzi kifo cha J.F Kennedy hatimae yameachiliwa

    Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya kuuwawa Raisi JF Kennedy. Hatimae zimeachiwa. Watu wengi walisubiria taarifa hizi wakiamini huenda...
  14. JamiiForums Tanzania Njama ya Siri: Je, Elites huficha alama za Emojis kama ishara za kipepo?

    Njama ya Siri: Je, Elites Huficha Alama za Emojis Kama Ishara za Kipepo? Kuna nadharia ya njama inayodai kuwa emojis si tu alama za kawaida za mawasiliano bali zina maana fiche zinazohusiana na nguvu za giza. Wanaounga mkono nadharia hii wanadai kuwa elites wanatumia emojis ili kueneza alama za...
  15. JamiiForums Tanzania Siri ya Uumbaji: Nguvu ya Maneno na Dhamira—Kutoka Mizimu(spirit) hadi Kuantum (Quantum

    1. Tamaduni na Dini: Spellcasting kama Uunganisho wa Roho na Nguvu Tamaduni za Kiafrika (Ifa, Voodoo, Uganga): Matumizi ya mitishamba, maneno ya nguvu, na mizimu yanaonesha imani kwamba ulimwengu wa kimwili na wa kiroho vinaunganishwa. Siri hapa ni ushirikiano wa nishati—maneno na matendo...
  16. JamiiForums Tanzania CIA: Vituo vya Siri vya Operesheni za CIA Vilivyosambaa Duniani Vyatajwa kwenye Mafile ya JFK Yaliyowekwa Hadharani na Trump

    Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni zao duniani. Miongoni mwa miji iliyotajwa kuwa na vituo hivyo kipo Nairobi nchini Kenya. Miji...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SIRI isiyo julikana na watu wengi ya Kupunguza Uzito Bila Kupambana na Lishe na Mazoezi!

    Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?... 👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako ya ndani (subconscious mind). 👉 Lishe na mazoezi ni 30% ya mafanikio, lakini akili yako ya ndani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

    TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi waweze kumtembelea kama ni hospitali. Kwanini maradhi ya viongozi inakuwa siri lakini mtu akifa ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  20. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Adam na Hawa

    Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia. Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…