sipati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Sipati ujumbe wa salio linalobaki baada ya kununua Luku

    Salamu humu Natumia natumia line ya Airtel. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. msg zinazokuja ni za token tu na nyingine ya muamala kuwa unashughulikiwa. Lakini meseji ya salio lako limebaki kiasi gani kwenye airtel money sipati. Au ni kwangu tu vipi huko wenzangu na mitandao mingine ikoje?
  2. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

    MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE. “Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia" “Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

    Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au? USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
  4. JamiiForums Tanzania Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio. Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi. Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Loss report mtandaoni: sipati control number

    Nimejaza smoothly kila kitu, ikija kweye control number inagoma kutoa control number. Nifanyeje kupata control number
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

    Habari zenu Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata...
  7. JamiiForums Tanzania Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

    Hello JF, Naombeni ushauri wa nini cha kufanya. Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia. Mfano, usiku wa kuamkia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini"
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sipati umeme siku ya tatu leo, tatizo ni nini?

    Luku hipo lakini umeme auwaki tatizo ni nini arafu nilikuwa naongeza luku nikajua imeisha inasomaa arafu aimarizi inazima leotena nimejaribu kuuhingiza ule umeme naambiwa umeshatumika lkn umeme auwaki tatizo ni nini? TANESCO
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…