A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Single mother anaweza kupanga sehemu ya kuishi au kufanya biashara (chumba, frame au apartment) na watu wanaomzunguka wasijue kuwa ana mtoto. Mtoto anaweza kuwa anaishi kwa ndugu au sehemu nyingine kwa muda.
Baadaye akikutana na mwanaume ambaye anaonekana smart, anajiheshimu, anavutia na yuko...
Habari wanajf
Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui"
Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na...
MAISHA HAYAHITAJI HARAKA. UKIONA MTU AU MFUMO UNAKUHITAJI UWE NA HARAKA UJUE UMEWEKEWA MTEGO WA KUKUANGAMIZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Maisha ni mfumo wa kuishi bila pupa. Bila haraka.
2. Kila Jambo Lina wakati wake. Kufosi kuishi wakati wa mbele ni pupa. Ni kuyaharibu maisha...
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini.
2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
Nina hasira hapa zisizomithilika😡😡😡
Hayo nimeyakuta jioni hii niliporudi kutoka shamba kupanda mahindi na mihogo.
Kesho asubuhi na mapema nabeba toto lake nafuatana nalo Hadi kwao kuwakabidhi pamoja na talaka juu, tena tatu.
Kuna wazo tofauti wanaJF?!!!
Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo.
Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa umoja uaminifu na ushirikiano mkubwa mno!
Hii wewe hujiona kupendwa sana pale unapoona kuwa mshikaji...
Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu.
Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu.
Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko
Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo geto akiwa na vitu vyake vyote kwa maana ya kwamba anahamia kwako hapo na wewe huna mpago wa kumuoa...
Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji mambo yanayoweza kufukua makaburi na maiti zilozolala. Am done with Single Mothers
Shalom shalom
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu.
Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona picha ya ndani wanayopitia single mothers tuache kuwakebehi kwa lolote hasa pale ambapo huwezi kumpa...
Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu.
Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali)
Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.
Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
1. Single mother mjane.
Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu.
Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.