simu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vipii Umewai kujiuliza Je, Tunamiliki Nambari Zetu za Simu, au Nambari Ndizo Zinatumiliki?

    Kutoka SIM Card Hadi eSIM Mapambano ya Kidijitali Kuhusu Nani Anayedhibiti Utambulisho Wako Vipii Umewai kujiuliza Je, Tunamiliki Nambari Zetu za Simu, au Nambari Ndizo Zinatumiliki? Katika dunia ya leo, nambari ya simu si tena kadi ndogo ya mawasiliano. Ni kitambulisho. Ni alama Yako . Ni...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

    Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie. Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unit 1 inaweza kujaza simu zaidi ya mara 50, kuchaji simu hakumalizi umeme kama wengi wanavyodhani.

    kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts) Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh) Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh Simu nyingi huwa ni 3.7V Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh: (Mah * V) 1,000 (4,000 *...
  4. JamiiForums Tanzania Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

    Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu naomba anifahamishe jinsi e sim inavyowekwa na kutumika kwenye simu

    Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
  6. JamiiForums Tanzania Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu wakamatwa na laini za simu 94 wakituhumiwa kufanya utapeli Iringa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

    Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda. Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

    Habari wakuu, Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera) Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiona mtu anahamasisha watu wasipige kura piga simu Polisi

  11. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azomewe siku ya Mwananchi

    Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na...
  12. JamiiForums Tanzania Epuka kuombwa simu na mwanafunzi usiyemjua

    Nilikuwa napitia uzi huu twitter (X). Kwamba mwanafunzi usiyemjua akiomba simu ukampa, unahatarisha kuoza jela miaka 30. Wanaume tuwe makini aisee. #NimejifunzaKitu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mitandao ya mawasilino haswa Halotel na Yass mmelala? Kuna changamoto katika mawasiliano

    Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia. 2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Leo msisahau, chage simu

    Saa 3 usiku EPC+F = Engineering, Procurement, Construction, and Finance
  17. JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  18. JamiiForums Tanzania Simu za mikopo chanzo cha wanawake kugongwa sana

    5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  20. JamiiForums Tanzania Kusikiliza simu ya kazi

    Mfano umepeleka barua kwenye interview ukaitwa ukafanya alafu ukaambiwa utapigiwa simu... Unatakiwa kufanyaje ili kupotezea mimi naenda na simu Hadi chooni sasa Imekaaje hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…