simu

  1. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shida hapa Tanzania ni mkakati tu

    Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  4. JamiiForums Tanzania Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10. Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9. Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi: Tutawashitaki mitandao ya Simu ikishiriki Tena kwenye kusaidia Serikali uzimaji wa mitandao

    Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9 atawafungulia mashitaka haya yote ameyazungumzia kwenye kipindi chake cha Maria space.
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

    Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea. Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya kuzima na kuwaka yenyewe na hata ikiwaka kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi kama Bluetooth...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda simu yako dhidi ya tracking na wizi wa taarifa zako

    Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati. 🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location): Unawezaje kuzuia? Zima location: Nenda Settings → Location → Use...
  9. JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu mliokuwa mnapigiana simu kawaida na kutumiana sms, hao ndio watu wako sasa

    Hao ndio watu wako sasa wale wa Magrupu, Insta, Tiktok, n.k. wachukulie kama wa ziada.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simu za WhatApp pekee ndiyo hawawezi kurekodi

    Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila ninaempigia simu Tanzania kwa normal international minutes hapatikani?

    Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
  13. JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Toa namba ya simu inayokuwa na salio muda wote siyo unampigia au unamjibu mtu kwa namba yako ambayo hujampa

    Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  16. JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa zinavyoteseka na hizi simu hasa kwenye kipengele cha NYWILA(PASSWORD)

    Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli anavyodai SATIVA kuwa Mtandao wa Simu (Halotel) umehusika 'kumuuza' Humphrey Polepole?

    Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa kutumika ni ya Mtandao wa Halotel na imesajiliwa kwa jina la Humphrey Herson Polepole. Kampuni ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  20. H

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wenye shida hawana simu

    Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…