simu

  1. JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  2. JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

    Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
  4. JamiiForums Tanzania Acheni kukejeli simu za watu!

    Samsung ni simu, na Infinix ni simu! Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure. Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji! Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
  5. JamiiForums Tanzania Unatumia simu gani?

    Unatumia simu gani, na umenunua Shilingi ngapi? Fanya ku-screenshot picha ili uzi unoge zaidi. Mimi Mjanja M1 natumia iPhone 15 Pro nimenunua 4 Million.
  6. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  8. JamiiForums Tanzania KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

    Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
  9. JamiiForums Tanzania Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    •itel kiswaswadu •Tecno kiswaswadu •bontel kiswaswadu •O king kiswaswadu Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used

    Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara. Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni mwongozo wa kupata simu kali iliyotengenezwa kati ya 2023/24

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL.. Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
  13. JamiiForums Tanzania Elimu ya utengenezaji wa application za simu za android part 2

    Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android. Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wadau simu yangu inasumbua google pixel

    Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  16. JamiiForums Tanzania EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

    Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si kudharau call na text zangu. mi simtaki, nataka tu anisaidie ili mchakato wangu ambao yeye kwa nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Adhabu gani nzuri ya kumpa Hawara ambaye unamwambia asipige Simu muda ukiwa na Mkeo na Yeye kwa Makusudi anapiga na Kukuponza?

    Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo

    Wakuu heshima kwanu. Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane. Nitakulipa gharama za usumbufu. Please DM
  19. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu, je hawa Wetrack wanaweza kunisaidia?

    Habari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko Ilala boma wanajiita wetrack. Nimewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu. Shida sio gharama, je...
  20. JamiiForums Tanzania Uliyeniuzia simu hii hapo Kariakoo, niseme tu sisi ni watu na sio milima, tutakutana

    Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…