simu

  1. JamiiForums Tanzania Adili Mkwela (Adili Chapakazi) ametoweka, hajulikani alipo, siku tatu sasa hapatikani popote, simu zàke zimezimwa, mwake hayupo na hakuna taarifa

    Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi. Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer), mwanamuziki, basketballer, pia ni movie director na producer. Ametwnheneza na kuongoza videos za...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

    Hapa Sina maelezo mengi Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo, kiswaswadu ndo kina uhalifu mwingi
  5. JamiiForums Tanzania Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

    Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya vijana nchini humiliki video za ngono kwenye simu

    Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! =================== Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana nchini wameathiriwa na ukuaji wa kasi ya teknolojia ya...
  7. JamiiForums Tanzania Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Maombi ya Mwamposa yampa mama huyu TV na simu, abeba rimoti ili ibarikiwe

    Wakuu, Kawe leo kumezidi kupamba moto Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo. Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu hajibiwi message wala kupokelewa simu zaidi ya kukatiwa tu

    Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  12. JamiiForums Tanzania App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wachaga ambao mshaanza kwenda Moshi sasa hivi, Januari hatupokei simu zenu!

    Wakuu, Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao. Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi? Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive mpaka Januari? Mnaenda huko kula ada, then Januari simu zinakuwa nyingi. Hatutapokea simu Raha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  15. JamiiForums Tanzania Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

    Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi. Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena. Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia. Line nilizonazo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza redio yangu Boss 180 iko Chamazi

    Nuza redio yangu aina ya BOSS mali halali iko chamazi piga simu 0711427984
  18. JamiiForums Tanzania Msaada ,changamoto ya kui root simu

    Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele simu ikawa haisomi laini yaani wali block Imei so baadae akaarudisha simu kwa mhusika na kumweleza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…