simu

  1. JamiiForums Tanzania Simu ipi ulishawahi kutumia hapa?

  2. JamiiForums Tanzania Nichague Mtandao upi wa simu kwaajili ya mawasiliano ya biashara?

    Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja? Na Je nichague mtandao upi wa simu kama namba Kuu ya Kuwasiliana na Kampuni? Location ni Dar es Salam
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

    Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba. Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo? Kuna ustawi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

    Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo Naomba tuambiane Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake Kioo kwishnaaa Winoo. Hioo Samsung a03 Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
  6. JamiiForums Tanzania Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa. Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!" Pia soma...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mpenzi hanihusishi mambo yake

    Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
  9. JamiiForums Tanzania Mtandao upi wa simu una huduma bora na za uhakika?

    Hii mitandao ya simu Tanzania imekuwa kero sasa, unajikuta una laini ya kila mtandao na kila laini unasajili kwa kazi yake kwasababu hakuna mtandao unaotoa huduma zake kwa 100%. Nina laini za mitandao mitano lakini kila mmoja una matatizo yake. Halotel, laini yao imeacha kufanya kazi ghafla...
  10. JamiiForums Tanzania TCRA wafungie ama wasifungie Simu Feki? Kariakoo na Makumbusho imejaa Simu za "kimarekani" na "Korea" feki!

    Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi! Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka mikoani na kuamini ni original. Simu yeyote ukikuta ina ki-dude kama maskini tape na haipo kwenye...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu mtupunzie sms za matangazo zinatukera wateja sana,sana,sana,

    Habari, Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya bima,kamari,muziki,mataperi,polisi,nhif,bahati nasibu,nk. Hivi tumenunua simu kwa ubia na mitandao ya simu? Yaani sms...
  12. JamiiForums Tanzania Mbabe wa simu: Jinsi ya ku lock Nokia

    Wakuu mi utata wangu wote hapa nimekwama. Nani mtata wa kulock hii simu. Yaan una lock screen mtu akitaka kuitumia aingize password
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA. APP BZURI YA KUSET UKIPIGIWA SIMU ITAJE MAJINA YALIYOSEVIWA KWENYE SIMU

    Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
  14. JamiiForums Tanzania WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  15. JamiiForums Tanzania Simu za mkopo

    Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama umeshamaliza deni! ahsante.
  16. JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

    Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
  18. JamiiForums Tanzania JIPATIE VIFAA VYA SIMU NA SMARTWHATCH KWA BEI YA KIWANDANI

    Kwa wauzaji wa vifaa vya simu wa jumla na rejareja nimekuja na suruhisho jipatie vifaa vya simu vyote kwa bei za viwandani kama ukichukua mzigo mwingi kutoka kwetu Kupitia sisi utapata fast charg kuanzia tsh 1800 utapata SMARTWHATCH kuanzia tsh 14000 utapata cover za simu kuanzia tsh 800...
  19. JamiiForums Tanzania Adili Mkwela (Adili Chapakazi) ametoweka, hajulikani alipo, siku tatu sasa hapatikani popote, simu zàke zimezimwa, mwake hayupo na hakuna taarifa

    Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi. Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer), mwanamuziki, basketballer, pia ni movie director na producer. Ametwnheneza na kuongoza videos za...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…