simu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ninunue simu gani ambayo kioo chake hakizidi laki 1 ?

    Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wanaolalamika kuibiwa Simu wanakutana na Nenda rudi nyingi kituo cha Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka. Bashungwa amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

    Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
  4. JamiiForums Tanzania Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

    Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu. Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
  5. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

    Wakuu Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi. I'm very sad
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndio top 5 ya ma-group yaliyopo kwenye simu za wanaume na wanawake.

    LADIES: 1: Dada's Urembo na style 2: Toto's group ujauzito hadi malezi 3: Msusi online matunzo na style za nywele 4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri 5: alex udaku 24hrs WANAUME SASA😂😂 1: Buza wa buku buku 2: koneksheni pro max pisi kalii 3: Utamu pande zote 4: 18+ raha zote 5: Auto check magari...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji wafanyakazi wa kulima nipigie simu

    Habari ya jua Kali na AC wanandugu. Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa. Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile. Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika. Heshima na Uaminifu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  9. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Tanzania na utapeli wanaoufanya kuongeza CPA "Click per Action".

    Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda. Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
  10. JamiiForums Tanzania Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  11. JamiiForums Tanzania Wizi mwingine wa mitandao ni makampuni ya simu kukata bando lako kwa kuhesabu SMS zilizoingia

    Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu. Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo. Njia pekee ya kufikisha...
  12. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  13. JamiiForums Tanzania Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu. Hii itakuwa nini?
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi documents kama barua nilizofuta mwezi uliopita kwenye simu

    Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana. Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi? Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp 😭😭😭😭
  15. JamiiForums Tanzania Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo usipolipa inakuwaje?

    Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
  17. JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  18. JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inafuta majina baadhi

    Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita. Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…