simu

  1. JamiiForums Tanzania Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  2. JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ina sababishwa na nini?

    Hivi ulishawahi mpigia mtu simu, alafu kimoyo moyo unaomba asipokee Ili badae umlaumu kwanini hakupokea.
  4. H

    JamiiForums Tanzania NCAA - LODUARE GATE waweke simu ya landline!

    Hata kama kuna changamoto ya milika haingii akilini geti lililo bize kuliko mageti yote kwa kupisha Watalii eti halina simu. Ukitaka kupiga simu ni hadi utafute simu za watu binafsi na kwa kuwa wana hamishwa hamishwa ni usumbufu mkubwa kwa wanaopitisha wageni. WAWEKE HATA SIMU INAYOTUMIA...
  5. JamiiForums Tanzania ๐—ฅ๐—˜๐——๐— ๐—œ ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ

    ๐Ÿ—ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI. ๐Ÿ—ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe na simu yako ni nani anayemiliki mwenzake?

    Tuseme ukweli bila kupepesa macho Unalala nayo kitandani Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni. Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 โ€“ Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  8. JamiiForums Tanzania Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  10. JamiiForums Tanzania Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  12. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  13. JamiiForums Tanzania Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

    Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
  14. JamiiForums Tanzania Nokia 3310: Simu ya Kizazi cha Dhahabu

    Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi kutokea katika uwanja wa teknolojia ya mawasiliano, kwani ndio siku ambayo dunia kwa mara ya kwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  16. JamiiForums Tanzania RC Abubakar Kunenge: Simu Janja na TV zinazalishwa Pwani na zipo sokoni

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ถ

    Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote. Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla. Hakikisha unazingatia mambo...
  18. JamiiForums Tanzania Nichukue simu ipi kati ya hizi

    Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  19. JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai. Sasa huyu mtu kwa kukosa subira simu ikiwa chaji asilimia 1 tu anawasha sio case may be anataka awe hewani bad...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu au notes za veta ufundi simu ziwe pdf

    Naomba kitabu chochote cha ufundi simu haswa smartphone kiwe kwenye mfumo wa pdf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ