simbachawene

George Boniface Taguluvala Simbachawene (born 5 July 1968) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kibakwe constituency since 2005.He held the post of the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance from November 2015 to September 2017. He resigned from his post on September 7 2017 after his name was implicated in the Minerals report from his time in the Ministry of Energy and Minerals.On 21 July 2019, he is assigned as the Minister of State in the Vice President's Office.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    Simbachawene 2030 huyu mzee anaweza kutuvusha na kuunganisha Nchi tofauti na hapo labda Lissu

    Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana. Kutoka na Istoria ya simbachwane...
  2. Genius Man

    Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko Samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike

    Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike. Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
  3. M

    Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  4. G Sam

    Simbachawene unagomea maandamano ya "Wakatoliki" hutaki mama asafishwe?

    Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
  5. Mhaya

    George Simbachawene anafaa kabisa kuwa Rais wa JMT

    Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko. Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua...
  6. Just Pray

    Simbachawene: Tunahitaji kuwafanya askari wawe wanaishi sehemu nzuri, wengi wanakaa uraiani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya...
  7. DuaZaMama

    Simbachawene: Askari wote nchini kuongezewa Posho

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya kiuhalifu...
  8. G Sam

    Huu ujinga uliofanywa leo na wanaojiita Wakatoliki nitashangaa kama Simbachawene hatowajibika

    Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi. Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua wanachofanya. Sisi kama taifa tumefika mbali kwenye hatua za kutekwa na upumbavu. Kama nchi yapo mambo mengi...
  9. Just Pray

    Simbachawene: Serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa dini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari...
  10. Erythrocyte

    Watekaji Wampuuza Simbachawene

    Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi...
  11. Mafyangula

    Simbachawene: Tunataka kupunguza utitiri wa vitambulisho

    Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri wa vitambulisho pale mwananchi anapohitaji huduma mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  12. Dr Adam Francis

    Simbachawene VS Bashungwa: Vijana tumejifunza nini?

    Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako. Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
  13. O

    Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

    Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu. Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu. Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
  14. Mafyangula

    PostGE2025 Simbachawene: Ukitoka Desemba 9, uwe na kitambulisho

    Vitambulisho vya nini wakati mmesema hakuna matishio ya amani? Ila Tanzania tulipofika sasa ni huzuni! ================= Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amewakumbusha wananchi watakaotoka Desemba 9 wahakikishe wana vitambulisho ili kuepusha usumbufu.
  15. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  16. Fbn

    Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  17. R

    Simbachawene usibebe gunia la misumari lisilo lako

    Acha watu waandamane kwa HAKI na Amani. Walioua achana nao kuwasaidia kubeba gunia la maiti za D29. . Jitenge nao kabisa. Ni hayo tu!
  18. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

    Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU. Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers. Au...
  19. Bawabu wa pili

    Tujikumbushe kidogo - Mtoto wa waziri Simbachawene

    Na hawa ndio watoto wa mawaziri wetu, Imagine anamjibu polisi "na wewe unataka" yaan anamuuliza polisi kama na yeye anataka kuitwa msenge
  20. Just Pray

    Simbachawene: Job Ndugai atakumbukwa kwa usimamizi wa sheria na Mageuzi makubwa katika jimbo lake la Kongwa

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia utungwaji wa sheria ya Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma. Akizungumza katika...
Back
Top Bottom