George Boniface Taguluvala Simbachawene (born 5 July 1968) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kibakwe constituency since 2005.He held the post of the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance from November 2015 to September 2017. He resigned from his post on September 7 2017 after his name was implicated in the Minerals report from his time in the Ministry of Energy and Minerals.On 21 July 2019, he is assigned as the Minister of State in the Vice President's Office.
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza kukamatwa kwa askari watano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokana na kushiriki matukio ya kihalifu.
Agizo hilo linakuja siku chache baada ya kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa jeshi hilo kutokana na...
Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
Kuwa na gari ya pickup Tanzania ni uhalifu why this?
Nimeshuhudia mwenyewe jinsi polisi wanavyosimamisha gari yoyote ya kubeba mzigo barabarani kutoka dar mpaka mwanza inavyosimamishwa na kila askari aliyopo karibu na barabara kana kwamba gari hiyo imeibiwa ama imebeba vitu vya wizi...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema hana maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Akizungumza na Nipashe jana katika mahojiano maalum kuhusu mikutano ya vyama vya siasa kama inaruhusiwa kufanyika...
Kama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi.
Mamlaka ya uteuzi imefanya u-turn na kuwarejesha kwenye cabinet with pomp.
Maswali ni mengi kwa kweli. Sina uhakika kama majibu yapo ya kutosha.
Jee...
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani"...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
Nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Kumbuka Wizara yako ndio Wizara inyohusika na kusimamia haki za msingi za maisha ya Watanzania ya kila siku. Pia ndio Wizara inayowajibika kusimamia usalama wa Wananchi na Mali zao.
Hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi dhidi...
Natoa ombi hili kwako maana wewe umekabidhiwa jukumu hili la kulinda usalama wa raia na mali zao kama kamanda wa mkoa.
Tukio hili baya lilitokea tar 26/10/2019 ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilaya ya ilemela Mkoa wa Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na Mwanajeshi na Migambo kwa idhini ya Mtendaji...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
======
UPDATES:
Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.