simba

  1. JamiiForums Tanzania Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  2. JamiiForums Tanzania Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano. Tusije Kukimbiana...
  3. JamiiForums Tanzania Ningekuwa na maamuzi kwenye club ya Simba, ningemuondoa msemaji wa club ya Simba, Ahmed Ally

    Inasemwa kwamba kazi ya afisa uhusiano ndio kazi ngumu kabisa huku duniani. Kazi hii inahitaji mtu mwenye uelewa wa mambo haswa yale ambayo atakuwa akiwashirikisha watu kuhusu kampuni, taasisi na mashirika ambayo ndio anafanyia kazi. Kwa mfano. Afisa uhusiano wa jeshi la polisi. Msemaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Usajili wa panic wa Simba: Yanayoendelea mitandaoni

    Ewe mwana Lunyasi mwenzangu, weka kituko kilichopo mtandaoni kuhusi usajili wetu wa kupaniki. Wakati wa usajili, Sifa anapewa Mo ila ligi na michuano mbalimbali ikianza, Lawama zote anapewa Mangungu. Blog maarufu ya soko Afrika yakashfu usajili wa kukurupuka wa wana lunyasi. Mwingine huyo...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi nguvu ya kubishana na klabu namba tano Afrika?

    Hivi nyie Utopolo a.ka Gongowazi, mnapataga wapi ujasiri hata wa kubishana tu na watu wa timu namba tano Africa kwa ubora? Level zenu ni Ihefu, Dodoma na KMC, hao ndio mnaweza kubishana nao. Next time tutaongea kwa viboko mkiendelea kumuongelea mnyama mkali Africa.
  6. JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Simba SC yakaribia kumaliza kusuka upya kikosi chake

    Huu ususi mpya uliofanywa na Simba sijui tuuitaje, wasusi kina Kalpana na maras tulionao humu watatusaidia ila ni wazi hii ni Simba brand new tunaenda kuiona. Misimu miwili iliyopita niliwahusia viongozi wa Simba waanze mchakato wa kuisuka upya kikosi cha Simba ili baada ya misimu mitatu, tuwe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania simba has too many foreign players? some one update me

    Usajili ndani ya Simba Sc 🇹🇿 hadi sasa and players available ✅ Jean Ahoua 🇨🇮 ✅ V. Nouma 🇧🇫 ✅ S. Mukwala 🇺🇬 ✅mzalimu 🇹🇿 ✅hussen 🇹🇿 ✅kibu🇹🇿 ✅chasambi 🇹🇿 ✅barua 🇹🇿 *️⃣✅ Lawi 🇹🇿 ✅ A. Hamza 🇹🇿 ✅ Omary Abdallah 🇹🇿 ✅ Okejepha 🇳🇬 ✅ Debora Mavambo 🇨🇬🇦🇴 ✅ J. Mutale 🇿🇲 ✅ V. Mashaka 🇹🇿 *️⃣⏳Yusuph Kagoma...
  8. L

    JamiiForums Tanzania CPA wa mchongo umeshindwa kweli kushauri Simba iwe na banda lake pale maonyesho ya Saba Saba ili mfanye biashara?

    Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana. Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

    1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana. 2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast 3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8 4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6 5. VALENTINO MASHAKA katika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Angalia mwenyewe kosi la Yanga na kosi la Simba, utaamua mwenyewe uende uwanjani au upotezee

    Yanga 1.Diarra 2.Yao 3.Kibabage 4.Bacca 5.Job 6.Aucho 7.Nzengeli 8.Mudathir 9.Dube 10.Aziz Ki 11.Chama Simba 1.Ayoub 2.Kapombe 3.Tshabalala 4.Chamou Karaboue 5.Che Malone 6.Debora Mavambo 7.Mutale 8.Augustine Okejepha 9.Steven Mukwala 10.Jean Charles Ahoua 11.Kibu Denga 😅😅😅
  11. JamiiForums Tanzania Kiungo Debora Fernandes Mavambo atambulishwa kuwa mchezaji moya wa Simba

    Simba imemtambulisha kiungo Debora Fernandes Mavambo kutoka Mutondo Stars ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu. Debora mwenye umri wa miaka 24, ana uraia pacha Gabon na Congo Brazaville, na timu ya taifa anayoitumikia ni Gabon. #Usajili #SimbaSC #DeboraFernandes
  12. D

    JamiiForums Tanzania Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  13. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba akifika Januari yuko Msimbazi mkanichape

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Unabiii auishi mpaka utimie Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025 Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe Huyu ataondoka kuuguza mkwewe, mtaniambia Ushauri Tatafuta soon plan B ya kocha Simba
  14. JamiiForums Tanzania Simba washabiki tulijua sasa Mo yuko siliasi. Tukaanza Kuwataja Akina Feitoto, Mayele na Aziz ki na Pakome. Kumbe anatoa vyuma vyote.

    Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo. Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Valentino Mashaka wa Simba akianza form 1 mwaka 2013, Inakuwaje hadi Leo 2024 ana miaka 18

    Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi. Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa. Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
  16. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  17. JamiiForums Tanzania Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

    Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini. Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu. Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola. Kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa. Eti alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lameck lawi alisainiwa na simba akatambulishwa ila yupo kambini na coastal union

    Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  20. L

    JamiiForums Tanzania Sema wewe Talib Hilal nikisema mimi kocha mpya wa Simba hafai ntaonekana msaliti

    Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba. Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…