simba

  1. Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  2. GE2025 Asanteni Simba yangu kwa kuturejeshea furaha japo ya muda

    Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
  3. R

    Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

    WanaSimba Wanakuja kama Mazombie kwa Mkapa🦁 Leo hadi Simba day iishe tutaona mengi sanaa 😂 😂 😂 😂
  4. Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  5. Simba iangalie uwezekano wa kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje katika Simba Day zijazo

    Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
  6. Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

    Habari wakuu. Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji?? Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi. Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba...
  7. Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
  8. Je, nanii anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba?

    "Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kabla ya msimu huu kuanza. Linapofika suala la uteuzi wa nahodha wa timu huwa kuna vigezo vingi...
  9. Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  10. M

    Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana presha Je ndio maana msemaji wao anaropoka tu akiwa na uhakika na anayosema? Je upinzani wa Simba...
  11. M

    Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  12. Crescent Magori Mwenyekiti Mpya Simba Sport Club

  13. Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  14. M

    Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  15. A

    BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  16. Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
  17. Jezi ya Simba vs Yanga

    Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA? SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe. Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
  18. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  19. Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  20. Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…