simba

  1. JamiiForums Tanzania Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  2. JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kupoteza huu mchezo

    - Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare. Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana hata wakati Sinbad wakiwa kwenye ubora walihangaika kuwafunga Yanga hawakuwahi kushinda mara 3...
  3. JamiiForums Tanzania Db e aqpa kuwakanda simba sc

    kama atafanikiwa nitakuwa mmoja wa watakaompongezq sana brda amesema hayo baadaya kukiwasha dk 10 uwanjan akiiaaidia timuyake wana simba mjipange matesooyakoo palepalee kaziiendeleee
  4. JamiiForums Tanzania Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna mnyama anae mshinda kwa mbio kama huyu Ngiri nguruwe mwitu Simba chui hapa kiboko yao V18

    Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media. Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba ama fisi au chui na viboko wanamuogopa. Napenda anavyo kimbia mwamba. Wewe unamjuaje? Karibu...
  7. JamiiForums Tanzania Kupunguza wachezaji wa kigeni Simba na Yanga kutaifanya Taifa Stars ifanye vizuri

    Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa. Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

    Hapo vip!! Naomba kuwasilisha Kumbe Simba haikuanzishwa na malofa kama wale wengine.
  9. JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  10. JamiiForums Tanzania Mo apewe Simba sports club bila masharti

    Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na yanga ni Pasua Kichwa.

    Hawa ni changamoto sana. Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka. Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji. Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  13. JamiiForums Tanzania Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

    Hapo vip!! Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu. Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea. Admin naomba usave hii post kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hans: Simba wakipoteza mchezo wa tarehe 19 (Derby) hapo ndio basi tena

    "Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo). Mnaweza kusema...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

    Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli... Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
  16. JamiiForums Tanzania SIMBA PLAYERS RATINGS VS COASTAL UNION 04.10.2024

    1.Mussa Camara Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10 2.Shomari Kapombe Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli la pili lilipitia upande wake huenda angekuwa kwenye nafasi yake angesaidia kuleta presha kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya Kuwashauri Viongozi wa Simba baada ya kuambulia Sare vs Coastal Union Leo

    Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba 1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo 2. ⁠Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu 3. ⁠Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba achane kutufanya sisi washabiki wajinga, Davis Fadlu akifukuzwa na Matola naye afukuzwe

    Huu ndio upuuzi wa viongozi wa Simba, timu ikifanya vibaya wanaefukuzwa ni kocha mkuu, kocha wa makipa na kocha wa utimamu wa mwili. Dunia kote hakuna kocha msaidizi wa kudumu, shida ya Simba ipo kwa viongozi ambao hawazingatii weledi.
  19. JamiiForums Tanzania Unabii: Nimeona Simba kutoka mbinguni akishambuliwa na nyoka watatu kutoka baharin mpaka kufa

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan wenye ukubwa kias unene wa mipini miwili wakipanda kutoka baharin Simba alipokaribia kutua chini...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…