simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

    Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line Azam itabaki team ndogo Mwaka Jana...
  2. ITR

    JamiiForums Tanzania Simba kwa Joshua Mtale tumepigwa.

    Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo. Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1. Bora Ntibazonkiza alikuwa ana faida kwenye mipira iliyo kufa lakini Joshua Mutale hana faida yeyote...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  4. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

    Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Simba haidi tena nguruwe octb 19 kila goli umekuwa kimya sana na simba yetu

    Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

    Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya Kakolanya kutemwa Simba na Manula na Salim kusugua benchi pake msimbazi ni kama Stars haina kipa wa...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

    Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura wenzao wamezaliana, zoezi likasitishwa. Tuachane na hayo, turudi kwenye mada kuu. Simba ina nafasi...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania SIMBA A.K.A MBUMBUMBU WAWAFUNGAWAARABU KOKO VIBONDE WA BIASHARA UNITED

    Siku ya Jana ilikua kombe la mbumbumbu linaendelea na klabu ya mbumbumbu simba ilifanikiwa kuwafunga waarabu Koko vibonde wa biashara unitea ikumbukwe Hawa waarabu Koko walifungwa Gori 3 bila majibu na biashara united hivyo Jana wamekutana na kipigo kutoka Kwa mbumbumbu wenzao hongereni simba...
  14. Fallback

    JamiiForums Tanzania NIMEWEKA HIVI SIMBA ANACHEZEA KICHAPO

  15. L

    JamiiForums Tanzania Yarabi tunakuomba uijalie Simba ushindi jioni ya leo, inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi. Ewe mwenyezi hakuna mtu apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni wewe. Sisi waja wako umetuumba kuja duniani...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  17. B

    JamiiForums Tanzania Simba leo akifungwa,mzizima dabi azam atashinda

    Leo azam ikishinda dhidi ya coastal union,na simba ikifungwa na waarabu basi simba itakataa tamaa na kufungwa na azam
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

    Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM. Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga kaweka 6 simba anawekwa ngapi niko pale kwa wakala:;;;

    Mjomba najua uko huku unasomaq Nikukumbushe tyu ile safari yyeti ya kila siku sijui makundi sijui lwenda robot Inaishia leoo Mjomba nisamehe sana sijaandika kaa uchungu bali nimewaza tu kama yanga walipiga 6 Leo mnawekwa ngapi Mjomba jpili njema
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Gamondi anapoelekea kuna siku atampanga RAISI WA yanga Eng kha

    Yaan ya jana yanafurahisha sana Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na ameweka mbili, nakumbushwa DUKE ABUYA ametokea bench ameweka kambani. Uhuni ni nini? Ni...
Back
Top Bottom