Simba imetokea Yanga mbumbumbu wewe walijitenga mwaka 1936 wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens (1936-1948), wakabadiri tena wakajiita Eagles yaan Tai na hio ni baada ya kutaniwa na Yanga kwa jina wanalolitumia la klabu yao ya 'Queens' wakiwa wanawaona km warembo fulani, wakabadiri tena wakajiita Dar Sunderland, wakabadiri tena mwaka 1971 wakajiita Simba kwa ushauri wa Hayati Abedi Karume kua Sunderland limekaa kikoloni kwanini wasitumie majina ya kwao ya kiafrika ndio likaja jina la klabu kuitwa Simba na Karume alihudhuria maana yeye ndie alieshauri jina libadilishwe kwa hio unaweza sema muasisi wa jina la klabu ya Simba kuitwa Simba ni yeye Japo wenyewe hawasemi hivyo
Soma hapa wameandika second to who?
en.m.wikipedia.org