simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  2. JamiiForums Tanzania FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

    Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika. Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza...
  3. JamiiForums Tanzania Short Story: Simba wa Mizimu

    SIMBA WA MIZIMU Siku moja nilikwenda katika kijiji kimoja kilichokuwa kikishambuliwa na ndovu mara kwa mara. Nilipokuwa nikipitia njiani, nilimwona mtu mmoja juu ya dungu lake akiezeka paa la dungu kwa makuti ya mkoche. Nilipopita pale chini la dungu, yule mtu akanitazama kisha akacheka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye uumbwaji

    Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Mo akamleta Camara akasaidiane na Manula, Salim na Abel. Mo akamwambia Camara, kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

    Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa jinga).
  6. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

    Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni. Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa: 1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
  7. JamiiForums Tanzania Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  8. JamiiForums Tanzania Simba kwa mara ya kwanza anapata ushindi kaskazini mwa Afrika

    Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien . 1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  10. JamiiForums Tanzania Asanteni Singida Big Stars na walio nyuma yenu, mliiandaa Simba kwa mechi ya leo dhidi ya Sfaxien

    Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi. Kilichotokea, wachezaji vijana wa Simba kina Ahoua walizidi kupata experience ya kucheza mengi ngumu...
  11. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  12. JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  13. JamiiForums Tanzania FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

    Siku ya Mechi Kali. Mwenyeji: CS Sfaxien FC Mgeni : Simba SC Mashindano: CAF CC Group Stage. Group A. Uwanja: Stade Olympique Hammadi Agrebi Stadium, Rades, Tunisia. Tarehe: 05th January 2025 Muda: Saa 1Jioni (EAT) VIKOSI. 1. CS Sfaxien 2. Simba SC Updates On 1st Half 00' Mpira...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hii ndio Simba ileeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu, mbinu za medani za Simba zimeibwa na Yanga

    Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa. Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama...
  15. JamiiForums Tanzania Naupongeza uongozi wa Simba kuchukulia chanya maoni ya Chasambi

    Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal Salum mbioni kujiunga na Simba

    Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la usajili la Januari. Wekundu hao wa msimbazi wako...
  17. JamiiForums Tanzania Chasambi katukosea heshima wana Simba, atuombe msamaha

    https://www.youtube.com/watch?v=NTfMlQAdvLs Mtangazaji: Katika uchezaji wako wa mpira Chasambi, nani unamtizama kama kioo kwako" Chasambi: Namtizama kama kioo kwenye timu yangu au......? Mtangazaji: Role model wako Chasambi: Kwenye timu yangu Mtangazaji: Akaitikia kwa kutikisa kichwa Chasambi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu ingekuwa ni ya haki kuna muda Simba na Yanga zisingeongoza ligi

    Nikifuatilia ligi kuu ya Uingereza naona matimu makubwa kama Man utd, Chelsea, Man City , Arsenal nk yanavyoteseka bila kujali ukubwa wao kwa wingi wa Mashabiki na Fedha . NImegundua wenzetu wa Ulaya HAKUNA MAELEKEZO KWA MAREFA KUWA MECHI HII LAZIMA FULANI ASHINDE WENZETU WAMENYOOKA SANA...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  20. JamiiForums Tanzania Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…