Simba sc tunajambo letu

Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu.

Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama hawa ili game ichangamke timu inaitaji hamasa naona kwa Mwijaku

nafasi hiyo kwa sasa inamfaa epu mashabiki wa simba tumsupport akuna kitakachopungua kwa sababu yeye sio mchezaji wala ayuko kwenye benchi la ufundi.
 
minded tips

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
290
1,000
Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha uamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwamasishaji na wala si afisa habari wa timu.

Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama awa ili game ichangamke timu inaitaji amasa naona kwa Mwijaku

nafasi hiyo kwa sasa inamfaa epu mashabiki wa simba tumsupport akuna kitakachopungua kwa sababu yeye sio mchezaji wala ayuko kwenye benchi la ufundi.
Fundi nguo kupewa kazi ya upajuaji(hospitali) kwa sababu anajua kutumia mkasi vizuri
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,485
2,000
Matokeo na soka maridadi ndio linaleta hamasa mzee,bongo tuachane na huu upuuzi.

Hata kama ingekuwa inapendeza kuwa na mhamasishaji kwangu mwijaku ni mshikaji fulani hivi empty set.

Simba iachane na huo upuuzi.. unadhani akija mazembe ukapiga, ukaenda kwa raja casablanca ukamfunga huko huko kwao, kuna haja ya kuhamasishana!? Kuhamasishana maana yake kuna jambo haliko,tunafosi liwe kitu ambacho si kweli
 
Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
1,696

Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
 
Mkuu mpira wa bongo ulivyo unaitaji watu hao ko ni muhimu
 
Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Matokeo na soka maridadi ndio linaleta hamasa mzee,bongo tuachane na huu upuuzi.

Hata kama ingekuwa inapendeza kuwa na mhamasishaji kwangu mwijaku ni mshikaji fulani hivi empty set.

Simba iachane na huo upuuzi.. unadhani akija mazembe ukapiga, ukaenda kwa raja casablanca ukamfunga huko huko kwao, kuna haja ya kuhamasishana!? Kuhamasishana maana yake kuna jambo haliko,tunafosi liwe kitu ambacho si kweli
Sema kitengo alichopo akuna tatizo
 
Penison

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
5,176
2,000
Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Kwani kuna chuo cha kusomea UHAMASISHAJI wa timu Mkuu???? Hicho chuo kipo wapi tukasome na sisi.

Tatizo lenu linalowasumbua mnataka kujidanganya kuwa Simba ni some level kama Mamelod ,Ahly, Wydad ,Zamelek, Tp Mazembe mnataka Simba ifanye vitu kama hao Giant mtasubiri sana, kitu ambacho si kweli, Simba ni top level kwa Ukanda wetu sio vinginevyo.
 
Kwahiyo hao we unapenda namna wanavyohamasisha?
 
Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,474
2,000
Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Tasnia ya uhamasishaji chuo chake kipo wapi tukasomee?
 
Van De Beek

JF-Expert Member
Sep 9, 2017
1,521
2,000
Tunachosahau....ambao hatupendi hilo suala ni sisi wachache.
Wabongo wengi wanapenda hayo mambo...
Kwahiyo ni sawa tu kuwepo muhamasishaji ( japo sipendi).
Nao wanaopenda ndio wanaojaza uwanja....sio sisi tusiopenda, ambao ni nadra pia kuonekana Taifa.
 
Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Tunachosahau....ambao hatupendi hilo swala ni sisi wachache.
Wabongo wengi wanapenda hayo mambo...
Kwahiyo ni sawa tu kuwepo muhamasishaji ( japo sipendi).
Nao wanaopenda ndio wanaojaza uwanja....sio sisi tusiopenda, ambao ni nadra pia kuonekana Taifa.
Kweli mkuu ukiangalia mpira ulivyo wa bongo vitu kama hivyo iwezi kuviepuka lazima timu ikubali tu
 
Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Nakupongeza sana mkuu kwa kuleta uzi wa ufafanuzi kuna watu wanachanganya afisa habari wa timu na muhamasishaji wa timu.
Ndio mkuu angepewa nafasi ya afisa habari hapo tungeoji hila hiyo nafasi akuna shida yoyote si ni kama shabiki yan anakuwa kama bongo zozo
 
Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Napenda sana Simba inavyojiendesha sasa hivi.

Huo uhamasishaji tuuache.
Ubora wa Club na performance ni hamasa tosha katika viwango vya flyover.
Mkuu akuna tatizo mwijaku ni kama bongo zozo shabiki pia muhamasishaji wa taifa stars
 
Digging deeper

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
772
500
Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Lakini mwijaku si kama bongo zozo akuna shida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom