simba

  1. Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

    Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au...
  2. Kiongozi bora wa muda wote Simba

    Sijui imekuaje Leo. Nimejikuta namkumbuka huyu mwamba.
  3. Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

    Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa. Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa...
  4. Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  5. Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  6. Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  7. Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US Gendarmerie) kuwa utachezwa saa nne usiku. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mchezo wa soka ngazi ya labu...
  8. Simba ikitaka ifike Mbali itafute Wachezaji Waonaojua Kufosi na Kupiga Chenga. Sio hawa wa Mipasi tu

    Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
  9. Je, kuna upendeleo katika kupanga Ratiba ya Kombe la FA kwa timu za Yanga na Simba?

    Wakuu Habari ya Wakati. Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani? Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

    Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila...
  11. Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

    Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
  12. Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  13. Maajabu: World Cup 2018 ilitazamwa na watu bilioni 3, Simba bilioni 5

    Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5. Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup Hata hivyo imedaiwa kuwa Klabu ya Simba katika mechi zake za CAFCL na kampeni ya visit Tanzania wametazamwa na...
  14. Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  15. Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

    "Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC...
  16. M

    Simba tusipobadilika ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali na huyu kocha aambiwe

    SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao. Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae...
  17. Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

    Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
  18. Chama wa Simba SC ameitwa Timu ya Taifa ya Zambia; Je, akina Mayele na Bangala nao wameitwa Timu ya Taifa ya Congo DR?

    Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
  19. Salim Abdalla " Try Again" Acha Kuihujum Simba

    Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo. Twende taratibu. Kwa mujibu wa KANUNI za TFF kila Klabu nchini...
  20. B

    Simba ifanye nini kuishinda USG

    Kwa kuangalia analysis na game plan ya mchezo kati ya Asec vs Simba Coach Pablo alifeli sana katika mipango. Alijisahau kuitizama asec wakiwa na mpira wanakuwa na kasi ya ajabu huku sisi wachezaj wetu ni wazito sana. Kwanza ilibidi aanze na Viungo wa kukaba wawili LWANGA+MZAMIRU ili kuipa nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…