simba

  1. Impimpi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

    Simba Nguvu Moja. Tunaomba radhi kwa kuruhusu hilo goli 1. Toka mashindano yaanze leo ndio tumeruhusu goli
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nani atadaka mechi za Simba huko Sudan? Msituaibishe jamani Afrika itatucheka

    wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz? Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC nashauri hizi Mechi zenu tatu za Kirafiki za Kipaumbele kiwe ni Kujiimarisha Kiufundi, Kujifunza na siyo Kushinda

    Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan. Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

    Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    GTs, Kama tulivyoona kijana wa Waziri Simba Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchokoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na alipokuwa nje, na je ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi? Je, haki za kijana wa Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Simba shida zimeisha?

    Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa. Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!! Hamna...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

    Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale mliomponda Habib Kiyombo kuwa hajui na Simba SC imechemka Kumsajili mmeona leo anayejua Mpira Kocha Paulsen amemuita Taifa Stars?

    Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa. Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

    Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba. Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

    Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC. Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Serikali imewapa wananchi ajenda ya simba na Yanga. kila kona ukipita watu wanajadili simba na Yanga. Hawana habari na gharama za maisha kupanda. Hawana habari na ufisadi unaofanywa Hawana habari na ngorongoro Hawana habari na wanyama kusafirishwa kwenda uarabuni Hawana habari ndani ya mwaka...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaliamsha dude tangu Agosti 2022 ianze

    TANGU MWEZI AUGUST UANZE Simba imecheza mechi 3 (St.George, Yanga na Geita) Imeshinda mbili imefungwa moja Imefunga goli 6 imefungwa goli 2. Goal difference ni 4+. Wachezaji 6 wamefunga (Kibu, Okwa, Sakho, Okrah, Phiri na Chama). Yanga imecheza mechi 3 (Vipers, Simba na Polisi Tz) Imeshinda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vuteni subira Manzoki atatua tu Simba SC, ila kuna Mambo muhimu Machache tunayakamilisha

    Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simba SC isihofie mabadiliko ikiwa inataka kufika mbali kisoka katika bara la Africa na duniani kwa ujumla

    Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ceaser Lobi Manzoki ni Simba SC atatambulishwa rasmi Kesho Saa 5 Asubuh

    Sasa ndiyo tutaheshimiana Mjini hapa kwani Goal Scoring Machine inatua rasmi Simba SC. Kuna Uwezekano mkubwa Victor Agban ndiyo akaachwa na Simba SC kwani Kocha hajamkubali japo Viongozi wa Simba SC wao wanataka Mzungu wa Kocha Mshambuliaji Dejan Georgeviovich ndiyo aachwe. Ikitokea Wawili...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
Back
Top Bottom