simba

  1. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

    Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

    Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
  5. Caesar14

    JamiiForums Tanzania Saga la Simba Sc na Hassan Dilunga

    Habari wakuu, Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea. Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga jifunzeni kwa simba kimataifa

    Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu. Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba. Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
  8. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Nyasa Big Bullet CAF statistcs (Timu itakayocheza na Simba toka Malawi)

    Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba. Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.
  9. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali maumivu: Simba kuanzia michuano ya awali CAF champions league!

    Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia). Hizo...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ufuatao ni 'Mjumuisho' wangu wa 'Kiuchambuzi' baada ya kuiona Simba SC jana katika 'Simba Day' yao

    Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio. Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake...
  13. OleWako

    JamiiForums Tanzania Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

    Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nay. Timu inapiga chenga na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Simba ni dude kubwa sanaaaaaaa,,,,

    Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Aliyesema SIMBA inaanzia raundi ya pili akamatwa

  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman Kibode (Meya), amefariki Dunia

    Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
  19. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Simba day inaanza saa ngap WADAU??

    Mweny taarifa anpe ili nijiandae kushuhudia vyuma vipya vinanolewa
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wakati wanazi wa simba tunasikitika kuanzia chekechea na utopolo embu wafikirie Zamalek jamani

    Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
Back
Top Bottom