Simba hatuna kocha wa makipa kocha wa viungo kwa sasa

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI.

Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
 
Kocha wa viungo hiyo kazi tumwombe mzee onyango atatusaidia. Huku kwenye makipa kwani Try again anafanya kazi gani pale makao makuu si angekuwa anakuja kuokoa jahazi? Mi binafsi nimpongeze Juma mgunda Kwa moyo wake anatusaidia sana kipindi hiki kigumu.
 
Mtatoboa tu! Yule kocha wenu Juma Mgunda na mwenzake Matola watajazia hayo ma gap.
 
Back
Top Bottom