simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
  2. JamiiForums Tanzania Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

    Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo. Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa 1st August Simba anapigwa nje ndani

    Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4! Nafikiri nimeeleweka.
  4. JamiiForums Tanzania Soka ni burudani, hii mechi iliisha Simba 3-1

    Mpira ni starehe, mpira ni ubishani, mpira ni ushabiki. Wewe na hisia zako za kidingi baki nyumbani au tafuta mchezo mwingine.
  5. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

    Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC tukishinda leo nitafurahi, ila kiufundi nina wasiwasi na mazingira yake

    Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja. Kwanini GENTAMYCINE nina...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  10. JamiiForums Tanzania TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  11. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga wanafanya vitu vingi watatuacha sisi Simba

    Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali Wanasajili wanachama online which is a good thing....upande wa SImba mambo mengi yako kimya kimya hakuna uwazi. Camp ya Yanga iko...
  13. JamiiForums Tanzania Et leo Simba anacheza ?

    Mweny kujua anijuze nijiandae
  14. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

    Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata. Na akatoa angalizo la kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

    Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake? ==== Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa. Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichokiona kwa Wasemaji wa sasa Ahmed Ally Simba SC na Ally Kamwe Yanga SC ni hiki Kifuatacho...

    Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika. Siyo unakuwa na Msemaji muda wote ukiwa nae Jirani unasikia tu harufu ya Sigara, Bangi, Pombe na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

    Anaandika Shaffi Dauda Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa. Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hapa Simba Queens mmepata dribbler wa uhakika na mfungaji

    Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti. Hata Harambee...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

    Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary Na Jamaa lingine akapost Matokeo yake tukaanzia preliminary Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na source
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…