simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba mwaka Huu wasahau FA na NBC PL. Wasahau kabisa. Tena kwa kumtambulisha Coach Mwingine

    Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo. Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

    1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe. 4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko. 5...
  4. JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

    Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika. Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Barbara anaiachaje Simba? ( Exit Plan)

    Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu anapoondoka aachie ngazi watu wafanye kazi.
  7. JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kama Jambo hili tu jepesi na la Kikawaida limekushinda je, Uongozi wa Simba SC yetu utauweza?

    Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu Mhuri bila Saini na Kuiwasalisha kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC ulitegemea nini...
  8. JamiiForums Tanzania Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

    Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao. Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
  9. JamiiForums Tanzania Mikakati hii ya kimafia ikifanyika Simba SC itakuwa Bingwa, wasiwasi wangu uko kwa Uongozi wenye kusalitiana

    Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
  11. JamiiForums Tanzania Fei Toto Kama Hujasaini Azam basi Nenda Simba

    Kwa matusi yale yaliyoporomoshwa jana na Wafuasi wa Yanga, ningemshauri Fei ajisajili Simba ili apate nafasi ya kuwashughulikia Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi kati yao. Fei keshafanya makubwa kwa Yanga na kwa muda mrefu lakini malawama na matusi aliyoyapata jana wakati yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC nawasihi sana tulizeni Vichwa vyenu kwa Sajili za Dirisha hili Dogo

    Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic kurejea kukipiga

    Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC wakilikazania hili Performance ya Uwanjani itaongezeka na kuwa Washindani hasa

    Saikolojia Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji. Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa ni Mngwena ( Mwamba ) wa Saikolojia utagundua kuwa Tatizo Kubwa lipo Vichwani mwao, linawauma na...
  16. JamiiForums Tanzania Simba yanasa saini ya Saido Ntibazonkiza

    Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Saido Ntibazonkiza, raia wa Burundi aliyekuwa anachezea timu ya Geita Gold. Mchezaji huyu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kwenye klabu hiyo kubwa nchini inayopatikana mtaa wa Msimbazi.
  17. JamiiForums Tanzania Yanga anaweza kupoteza point, je wapinzani wao simba wanaweza kutokupeteza?

    Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani. Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA. Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Simba SC iliyocheza juzi na Kagera Sugar FC ndiyo itakayocheza hatua ya makundi CAFCL tunaenda kuiaibisha nchi

    Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC. Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%. 1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha Simba Queens kuwa timu mbovu ghafla?

    Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi? Ukiitizama Simba Queens hii na ile iliyofuzu Klabu Bingwa (siyo iliyocheza klabu Bingwa) utaona gap kubwa. Wachezaji wazito, hawako motivated, sio wakakamavu na hawako kiushindani...
  20. JamiiForums Tanzania Simba a.k.a wazee wa coaster

    Timu inayomilikiwa na Tajiri namba moja Tanzania billionaire/trillionnaire Mohammed a.k.a mudy dewji, club hicho chenye utajiri wa kutisha ambao mwanzoni wa msimuu huu waliingia mkataba na mbet wa kiasi Cha billion 26 kwa Sasa wanatumia usafiri coaster na sio ndege kama kipindi Cha nyuma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…