simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba wakopi jezi za Azam Fc

  2. JamiiForums Tanzania Nimezichungulia jezi za simba sports sijaridhika nazo

    Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo. Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni. Sandaland ameleta jezi ambazo sijazielewa kwakifupi ni chini ya kiwango. Wana simba punguzeni matarajio
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Simba mnaona kinachoendelea Yanga? Sasa mumuogope sana Aziz Ki, zile combination zake za ASEC zipo Avic town

    Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga. Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka. Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini? Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
  4. JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

    Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha. Pia kuna uwezekano hata...
  5. JamiiForums Tanzania Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

    Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari. Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo. Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani. Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea...
  6. JamiiForums Tanzania Huu usajili wa Luis Miquisone ni ishara Simba hawajui walifanyalo, au wapigaji wapo kazini

    Kwanza niweke wazi tu Mimi kwenye riziki ya mtu huwa sina mtimanyongo lakini kwa usajili wa Luis Miquisone unaleta mashaka makubwa sana. Mtakumbuka Miquison aliondoka Tanzania akiwa kwenye peak lakini ushindani uliopo Al Ahaly akashindwa kuonesha uwezo wake, siamini kama ni ubaguzi maana yupo...
  7. JamiiForums Tanzania Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

    Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini? Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping. Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa. ************** Update 16:30 Simba imekamikisha...
  8. JamiiForums Tanzania TFF inapokua shabiki wa Simba

    Kulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili?
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC imetosha, sasa acheni kusajili kwani tuna vikosi hatari viwili vya Mauaji

    Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  11. JamiiForums Tanzania Naiona Simba na Azam zikiwa na safu bora mno za ushambuliaji

    Wakati sajili zinaenda kutamatika kwa timu mbalimbali, hadi sasa kwenye mpira wa kimtazamo ( mpira wa makaratasi) Simba na Azam wananda kuipa wakati mgumu Yanga kwenye mbio za ubingwa wa NBC na Azam Federation cup. Hakuna shaka kuwa msimu uliopita, Simba ndio timu yenye safu bora ya ushambuliaji...
  12. JamiiForums Tanzania Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

    Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  14. JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Kibegi cha jezi za Simba kimefunika kelele zote za Yanga kuanzia Wiki ya Mwananchi hadi Usajili wao

    Simba Sports mwaka huu wamekuja tofauti. Jezi zao zinazinduliwa kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro ijumaa wiki hii. Sasa jezi hizo zimewekwa kwenye kibegi na amepewa Ahmed Ally kusafiri nacho kwa ndege kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. Kila anapopita vibe ni kubwa na watu wanaomba wapige nae picha...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

    Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo
  16. JamiiForums Tanzania Chonde chonde chama tusimuache Wana Simba

    Nawaomba Sana ndugu Wana Simba,tumshikilie Chama kwa nguvu zote maana bado tunamtegemea Sana Tusidanganyike na usajili mpya maana bado watu hatujawajua Mabifu yamalizen
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC Nawapenda mno, ila kwa hili mtanisamehe kwani nahisi kuna tatizo mahala

    Tokea GENTAMYCINE nizaliwe na niwe mfuatiliaji wa Mpira hadi sijawahi ama Kuona au Kusikia Klabu inakwenda Pre Season Kimafungu Mafungu kama ilivyo kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC. Kwa mtazamo wangu sioni Aibu kusema kuwa Simba SC yangu haijaenda Pre Season kama wasemavyo Wao ila imeenda Pre...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Uganda: Mwendesha bodaboda aliyekuwa amepakia ndizi na kukatiza mbele ya kundi la Simba auawa na kuliwa na simba hao

    Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua. Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha. Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake (tena akiwa bado Kwao) nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…