simba

  1. JamiiForums Tanzania Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

    Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

    GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
  4. JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller: Yanga ndio timu tunayoitizamia kwa sasa

    Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa wapo vizuri zaidi ya hao na wasipokuwa makini wanaweza kupoteza game zote home/away. Mbali zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

    Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo. Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba tunakuja: Mzunguko wa pili tarehe 13/04/2024, Yanga jiandaeni kwa maumivu!

    Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja! Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Simba

    Kwa heshima kubwa napenda kuishukuru Simba Sports Klabu. Hii timu ilifanya umafia ambao naushukuru hadi Leo. Walivamia Airport wakamuiba Ngoma wakajiona majambazi. Chezaji ngongoti, legelege. Baada ya hayo Yanga wakamshusha ZIZU wa IVORY COAST. Mpaka Wasemeeee.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi mkubwa

    Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa. Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x) Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
  14. JamiiForums Tanzania Adui wa maendeleo ya simba sio yanga wala TFF, adui ni kuamini ktk mambo ya kale kilimo cha pdf kipo simba

    Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

    Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%? Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao...
  16. JamiiForums Tanzania Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly AFL

    Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly. Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana wachezaji wazito. Hakika, kama Simba angepangwa na Wydad au Mamelodi hii, tungepata aibu ya kitaifa. Wababe...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga alipata magoli mawili halali huku Simba ikipata moja leo pale kwa Mkapa

    Nilichokiona baada ya kuangalia marudio 1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi. 2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

    Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa. Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!? Hamsa!
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba: Kipigo Cha Leo kitutoe usingizini.

    Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama. Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi. Naomba nishauri yafuatayao: 1. Kwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…