simba vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    5/11/2023 - Leo katika Historia, Yanga yaibuka na ushindi wa bao TANO (5) katika derby ya Kariakoo, Unakumbuka nini kabla ya mchezo siku hii?

    Tarehe kama ya Leo mabingwa wa nchi, Young africans sc, Yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam, Ilifanikwa kutoa somo na onyo kali kwa kumkung'uta kichapo kikali mpinzani wake katika derby ya Kariakoo, Je ulitazama mchezo ukiwa wapi siku hii? Hisia kabla ya mchezo zilikuwaje na ulipokea...
  2. K

    Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

    Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga. Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana. Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze...
  3. kavulata

    Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

    Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
  4. S

    Diarra: Mechi yangu bora ni hii ya juzi

    Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha. "Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena" Mechi yangu bora ya Simba na Yanga...
  5. Tajiri Tanzanite

    Nimethibitisha juzi tarehe 19.10.2024 Yanga hana uwezo wa kumfunga Simba ila refa ndio anaweza kumfunga Simba

    Hapo vip!! Sina maneno mengi ila mpira umeonekana yanga alizidiwa kila kona na Simba. Na Simba tumeona amezulumiwa bao,nasema amezulumiwa kwasababu kama Kayoko anaweza kuruhusu mpira uliotoko nje kuchezwa na kuhalalisha goli,kwanini aliona lile bao la Simba ni Offside? Lingine kwa mujibu wa...
  6. DELETED ACCOUNT

    Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa

    Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle uliyoamua kuitumia, wakati huo huo kumbe kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC

    Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote. Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne iliyopita: Simba Sc 0-1 Yanga Sc (Ligi Kuu) Yanga Sc 1-0 Simba Sc (Ngao ya Jamii) Yanga Sc 2-1...
  8. Mstahiki Mea

    Simba bado inamuhitaji John Bocco

    Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga. Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT...
  9. Jackson News

    Simba vs Yanga: The Iconic Rivalry That Defines Tanzanian Football

    The fierce rivalry between Simba Sports Club and Young Africans (Yanga), often referred to as the Kariakoo Derby, is the most celebrated football match in Tanzania and one of the most iconic in East Africa. It transcends the boundaries of sports, deeply embedding itself in the cultural and...
  10. Greatest Of All Time

    FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12. Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
  11. C

    Ni vema Simba washinde derby hii, lakini!

    Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda. Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo sasa. Ili kuendeleza utani wa kiwango kilichopo, ni vizuri Simba wapambane washinde ili kuwarejesha...
  12. L

    Naona Yanga wamekimbilia kwa watoto yatima kujinusuru na Kimbunga Ateba kesho

    Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima. Kesho ima faima łazima heshima irudi...
  13. DR HAYA LAND

    Kesho simba atashinda huu ndo utabiri wangu

    Mimi sio shabiki wa mpira Ila nimeamua kufanya utabiri Simba anashinda kesho nimeona hivyo
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    Saa sita usiku wa leo, utashangaa nyuzi za Simba Vs Yanga zaidi ya moja, hivi kwanini huwa mnagombania?

    Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga. Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa. Mbaya zaidi kuna jamaa yeye ni mod, huwa anafoji hadi muda ili tu thread yake ionekane ya mapema zaidi.
  15. M

    Mnyama meno yanawasha tafuna huyo uto hadi aseme nimekoma

    Msiseme hatukujua!! wewe unajipeleka kwenye mdomo wa simba huku ukijua ana njaa unategemea nini? Simba 3 - 0 Yanga.
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tabiri mechi ya Simba Vs Yanga itaishaje baada ya filimbi ya mwisho

    Kama uzi unavyojieleza; Simba 2-1 Yanga Twende kazi,tuone utabiri wako…
  17. Mstahiki Mea

    Nimechungulia game ya Simba dhidi ya Yanga, inamalizika bila goli

    Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza. Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
  18. JanguKamaJangu

    Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

    KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
  19. Labani og

    Gamondi: Simba watapewa dozi kulingana na ugonjwa wake

    GAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO. ''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu. Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida. Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na...
  20. M

    Kuna kila dalili kwamba game ya Kesho Simba inaweza kushinda goli nyingi

    Zinaweza kufika 7 na kama zitapungua zitakuwa 4. Baada ya game msiniulize nilijuaje
Back
Top Bottom