simba vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oloisusuki

    Mwenye ushahidi kuwa mechi ya Simba vs Yanga iliahirishwa ajitokeze hadharani

    Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo 1: Nani aliahirisha? 2: Kwanini iliahirishwa? My take: Mechi ya jana Yanga aligomea kucheza so tusubiri majibu ya TFF na Wizara
  2. Ladder 49

    Simba vs Yanga msimu wa 2020/2021: Sijaona sababu ya mechi kusogezwa mbele

    Wakuu Habari za saizi. Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu. kwenye taarifa yao hapo sijaona sababu zaidi ya kusema tu imepokea kutoka kwa wizara,nini kilikuwa kina fichwa hapo...
  3. Abby Newton

    Ukimya wa Wizara ya Michezo ni uthibitisho kwamba kuna "Mkubwa" alikurupuka

    Toka sekeseke la kuvurugika kwa mchezo wa watani wa Jadi,Wizara ya michezo imekuwa bubu licha ya TFF kueleza kuwa ilipokea maelekezo ya kubadilisha muda toka Wizarani. Kuna usemi kwamba "If you hide the truth people will create their truth". Sasa kuna uvumi mwingi na kila mtu anaongea lake...
  4. I

    Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  5. endesha

    Dondoo na uchambuzi kuelekea mechi ya Watani wa Jadi

    Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni Kuelekea Mchezo huo ,Japo kivyovyote Kama tunavyojua Derby siku zote hua haingalii saaana performance ya Timu...
Back
Top Bottom