Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja.
Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa taarifa ya tukio la mauaji lililotokea mnamo tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2025 saa 12:50 jioni katika Kitongoji cha Ululu, Kijiji na Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe.
Katika tukio hilo, Evaristo Zabroni Mwambogolo, mwenye umri wa miaka 28...
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025
Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2)
Pendekezo bora:
X (Draw) au
X1 (Yanga au sare)
Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao.
Double...
Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara 5 na simba akishinda mara 3.
Utabiri wangu kuelekea mchezo nimchezo usiotarajiwa na magoli mengi...
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao.
GENTAMYCINE nina uhakika kuwa hawa Watajwa Watatu hapa juu wangekuwa Kimya Kiushabiki leo hii tusingefika hapa katika...
Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku
Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli?
Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine...
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Leo 18:50hrs 08/03/2025
Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea...
Wakuu
Bado saa kadhaa kuelekea Kariakoo Derby!
Mechi ya miamba wa soka la Tanzania (Yanga SC vs Simba SC) inakaribia, na Hans Rafael mchambuzi wa Soka ametengeneza muunganiko wa kikosi cha kwanza kwa kuzingatia form na balance kuelekea mtanange huo.
Hans Rafael - Crown FM
Naomba kuona...
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣
Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta kwenu enyi wakuu!!
Katika maono haya, wachezaji wa bwanyenye Mo dewj, wanaonekana ni wenye hofu kuu...
Hatuchoki. HATUUVUMILII.
Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.
Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.
Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi.
Tukutane tar 8 machi, 2025.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi Lyamahoro, katika kata ya Nyakibimbili.
Ndugu Faris, amelitumia Bonanza hilo kuwashukuru wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.