Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia.
Ombi
Nakuomba licha ya kuwa wewe uko upande wa mwekezaji lkn tuna imani na nyie kuliko hata ule upande wetu wa...
JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI?
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa rasmi na klabu. Hii imeibua maswali kadhaa:
Nani hasa aliyesababisha uvujaji huu?
Uongozi wa Simba...
Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD
Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora.
Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport).
Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya...
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama mapendekezo ya usajili wa wachezaji mbalimbali ambao wataisaidia timu yangu ya Simba.
Ninamiini...
Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali
Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo tunaenda Zanzibar tayar tukiwa washindi
Ni hayo tu!
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
Ndugu Mohamed Dewji
Mwenyekiti wa Bodi
Bodi ya Wakurugenzi
Simba Sports Club
DAR ES SALAAM
YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025
Ndugu Mwenyekiti, pokea salamu hizi za dhati kabisa kutoka kwangu mwanachama wa Simba Sports Club.
Ndugu Mwenyekiti...
Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira.
Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu zingine.
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar.
Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na...
Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri...
Kwa hili vibe na shangwe kubwa analopewa hapa muwekezaji wa Simba ndugu Mo basi wanasimba naamini wako tayari kumpa hii team mazima
Sasa Mangungu anamtambulisha mkuu wa wilaya ya ilala anaemuwakilisha mkuu wa mkoa
I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre Lechantre (Nov 2017 - Jun 2018)
5. Patrick Aussems (Jul 2018 - Nov 2019)
6. Sven Vandenbroeck (Dec...
1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo kupitia milango mingine mbali na ule wanaotakiwa kupitia wachezaji.
Kuna mawasiliano huwa yanafanyika...
Kwa heshima na taadhima, ndugu zangu Makolo,
Nakuja hapa kuwashauri mlifanyie kazi wazo la hekima la Mr. Manguruwe
Huyu shabiki wenu, ametoa offer ya kuweka mzigo pale Msimbazi ili timu iweze kuwa na ukwasi, sharti lake yeye ni dogo tu, kuifanya timu kuwa public listed company
Pendekezo lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.