Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo La Nchi ..Utani unawekwa Pembeni.
Nduli Iddi Amini alisambaratishwa Kwa Kuwa lilikuwa Jambo la...
Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu.
Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
Greetings!
Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi...
Wakuu huyu dada C.E.O wa Simba sports club ni fullbright ni mwanamke wa shoka mwenye kujiamini na uelewa mkubwa sana wa mambo.
Ukifatilia huu mzozo uliopo sasa wa Simba kuvaa nembo za GSM utaona jinsi anavyosimama kwenye hoja na vipengeke vya kisheria kwa utulivu mkubwa bila mihemko, lakini pia...
Wasalaam,
Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira.
Wanasema hivi;
1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu.
Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana,
1: Mpaka muda huu Simba imezidiwa propaganda kwenye Social Media, Redio na TV stations
Simba sasa hivi imekuwa inapewa...
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.
Ungana nasi wanasimba wa Jf kusherekea pamoja nami nawaleta OKW BOBAN SUNZU
Mightier FORTALEZA
Na wengine wataungana baadae...
Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.